Jipatie LG (Smart phone) kwa Tshs. 150,000 tu!

Jipatie LG (Smart phone) kwa Tshs. 150,000 tu!

HAMY-D

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2011
Posts
7,146
Reaction score
3,830
Kama ambavyo kichwa cha uzi kinavyojieleza. Nauza LG smart phone kwa Tshs. 150,000, simu ikiwa na sifa zifuatazo:

1. Camera: 5 MP kwa back camera na front camera ina 2 MP.

2. Internal memory 4 GB

3. Software yake ni android version 4.2.2

5. Mwonekano wa simu, upande wa mbele nyeusi na upande wa nyuma ni nyeupe.

6. Simu imetumika kwa miezi miwili tu. Hivyo ipo katika hali nzuri bila mchuniko wowote.

Mtandao unasumbua kwa sasa. Ukikaa sawa nitaweka picha.
 
Back
Top Bottom