Jipatie Kamera za uangalizi (CCTV) nyumbani kwako kwa kuanzia 70,000/ tu!

Mkuu sisi wa mikoani unatusaidiaje kuzipata? Je nikiziagiza naweza kuzifunga mwenyewe? Vp hicho kifaa cha internet nakipataje au kinakuja na hyo camera?
Habari!

Upo mkoa gani?
Kama unavoweza kuona kwenye video fupi hapo juu, ufungaji wake ni rahisi sana na hata wewe mwenyewe unaweza kufunga na kuanza kutumia...
Hapana kifaa cha internet hakiji na kamera, vinapatikana kwenye maduka ya mitandao ya simu mf Tigo wanazo mi-fi ambazo zina speed na bei ndogo kabisaa!

Gharama ya kamera moja ni sh 70,000/ tu!
 

Naam hapa nimekuelewa vizuri kiongozi
 
Kwa kuongezea,

Weka screenshots za hiyo app ya kuangalia live feed, video iliyoshutiwa na camera na vielelezo vingine vinavyoonyesha kabisa mazingira yetu ya kibongo.
 
Wewe ni mkweli.


Mtu anahitaji smatphone na wifi connection nyumbani
Ni kweli kabisaa!
Lakini nikutoe hofu, huduma za internet majumbani hivi sasa ni ndogo sana kuliko zamani! Mfano wi-fi yenye uwezo wa ku-unga watumiaji 32 pale TTCL unaipata kwa sh 105000/ tu! Baada hapo ni bundle lako tu! Na kwa kamera zetu 5 kama hautotumia kitu kingine bhasi 2GB (ambayo kwa sasa ni sh 2500) kwa mwezi inatoshaaa kabisaa.. Uta stream live nini kinaendelea kwako, utapokea notifications kila inapotokea movements baada ya masaa ya kazi au usiku... uta preview muda wowote ukiwa mahali popote duniani.. utadownload footage kwa ajili ya kushare n.k
 
Ni kweli kabisaa!
Lakini nikutoe hofu, huduma za internet majumbani hivi sasa ni ndogo sana kuliko zamani! Mfano wi-fi yenye uwezo wa ku-unga watumiaji 32 pale TTCL unaipata kwa sh 105000/ tu!
Naelewa.

Nimesema tu wewe ni mkweli kwasababu wengine wanaouza hizi ndude huwa hawakuelezei kuwa internet inahitajika for remote access.

Ila umeeleza vizuri hilo na pia ikiwa mtu hana internet nyumbani ataweza kuangalia motion events kwenye SD card.

Kudos kwa uwazi huo.
 
Ahsante sana Mkuu!
Karibu tukuhudumie
 
Zinacover eneo la ukubwa gani ?
 
Zinacover eneo la ukubwa gani ?
Habari!

Kamera hizi zina tumia lensi yenye uwezo wa kuona nyuzi 360...
Tazama footage hii ambayo tumeichukua sasa ivi hapa kwa mteja wetu tuliyemfungia makongo juu kama majaribio..Yeye amefunga kamera mbili, mbele anapo paki magari na nyuma..

N:B Footage hii imetolewa kwa idhini ya mwenye nyumba.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa kuongezea,

Weka screenshots za hiyo app ya kuangalia live feed, video iliyoshutiwa na camera na vielelezo vingine vinavyoonyesha kabisa mazingira yetu ya kibongo.
Habari!

Tafdahali tazama footage hapo juu tuliyoichukua sasa ivi hapa Makongo juu nyumbani kwa mteja tuliyemfungia.. tazama tarehe na muda.. hata mazingira pia.. nadhani utaona gunia la mkaa hapooo (uthibitishoo hii ni bongoo... Ahahahahahah)
 
 
Ni nzuri. Nikihitaji kamera 2 bila kuona live itakuwa bei gani jumla ya vikorokoro vyote. Na nikihitaj kamera 2 niwe naona live itakuwa bei gani vitu vyote
 
Ni nzuri. Nikihitaji kamera 2 bila kuona live itakuwa bei gani jumla ya vikorokoro vyote. Na nikihitaj kamera 2 niwe naona live itakuwa bei gani vitu vyote
Habari!

Bei ya kamera moja ambayo inajumuisha kamera, holder na memory card ni sh 70,000/ tu!
Kwa ajili ya ku stream live utahitaji router ambayo kwa sasa inapatikana kuanzia 10500/ tu!

Karibu tukuhudumie!
 
Habari!

Tafdahali tazama footage hapo juu tuliyoichukua sasa ivi hapa Makongo juu nyumbani kwa mteja tuliyemfungia.. tazama tarehe na muda.. hata mazingira pia.. nadhani utaona gunia la mkaa hapooo (uthibitishoo hii ni bongoo... Ahahahahahah)
Mbona aijapiga alarm baada ya kumwona huyo Dada apo
 
Mbona aijapiga alarm baada ya kumwona huyo Dada apo
Alarm yake ame-set kuanzia saa tano usiku hadi saa 12 alfajiri... hajaona haja ya alarm mchana wakati kuna watu!
Kamera hizi zinakupa option ya kuset muda wa alarm, mfano kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 12 alfajiri.. endapo kutokea any movement katika muda huo bhasi itapiga alarm na kukutumia notification kwenye simu yako kua "movement detected at Camera 1 (jinsi ulivyo i-rename kamera yako)...
 
Hapa sasa watu watakuelewa.

Kazi nzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…