Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 169
- 101
- Thread starter
- #21
Habari!Mkuu sisi wa mikoani unatusaidiaje kuzipata? Je nikiziagiza naweza kuzifunga mwenyewe? Vp hicho kifaa cha internet nakipataje au kinakuja na hyo camera?
Upo mkoa gani?
Kama unavoweza kuona kwenye video fupi hapo juu, ufungaji wake ni rahisi sana na hata wewe mwenyewe unaweza kufunga na kuanza kutumia...
Hapana kifaa cha internet hakiji na kamera, vinapatikana kwenye maduka ya mitandao ya simu mf Tigo wanazo mi-fi ambazo zina speed na bei ndogo kabisaa!
Gharama ya kamera moja ni sh 70,000/ tu!