Jipatie Kamera za uangalizi (CCTV) nyumbani kwako kwa kuanzia 70,000/ tu!

Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
2,006
Points
2,000
Shepherd

Shepherd

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
2,006 2,000
Alarm yake ame-set kuanzia saa tano usiku hadi saa 12 alfajiri... hajaona haja ya alarm mchana wakati kuna watu!
Kamera hizi zinakupa option ya kuset muda wa alarm, mfano kuanzia saa 4 usiku mpaka saa 12 alfajiri.. endapo kutokea any movement katika muda huo bhasi itapiga alarm na kukutumia notification kwenye simu yako kua "movement detected at Camera 1 (jinsi ulivyo i-rename kamera yako)...
Mawasiliano
 
J

Jiwe la Ma

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
409
Points
500
J

Jiwe la Ma

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
409 500
Habari!

Upo mkoa gani?
Kama unavoweza kuona kwenye video fupi hapo juu, ufungaji wake ni rahisi sana na hata wewe mwenyewe unaweza kufunga na kuanza kutumia...

Gharama ya kamera moja ni sh 70,000/ tu!
Yenyewe inatoa mwanga...????
Umesema gharama ni elfu70 kwa kamera,kwa maana hiyo elfu70 napata bulb moja au..???
 
Mwana kinyonga

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2011
Messages
270
Points
225
Mwana kinyonga

Mwana kinyonga

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2011
270 225
Habari!

Bei ya kamera moja ambayo inajumuisha kamera, holder na memory card ni sh 70,000/ tu!
Kwa ajili ya ku stream live utahitaji router ambayo kwa sasa inapatikana kuanzia 10500/ tu!

Karibu tukuhudumie!
Source of power ni umeme huu huu wa Tanesco/ switch lazima iwe on muda wote au kuna namna ya kuicharge na kuipachika hapo?
 
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
124
Points
225
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined Sep 25, 2014
124 225
Source of power ni umeme huu huu wa Tanesco/ switch lazima iwe on muda wote au kuna namna ya kuicharge na kuipachika hapo?
Hello!
Ndio source ya power inakuwa umeme wa kawaida! Kuhusu switch ni chaguo la mteja, wapo wanaotaka ipitie kwenye switch ya taa (ambayo mara nyingi inabidi iwekwe mpya) na wapo wanaotaka power ichukuliwe kabla ya swictch ivyo camera inakuwa na moto muda wote ambao haupiti kwenye switch ya taa kuzuia mtu kuzima camera
 
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined
Sep 25, 2014
Messages
124
Points
225
Mangi wa Rombo

Mangi wa Rombo

Senior Member
Joined Sep 25, 2014
124 225
Habari!

Tunashukuru kwa idadi kubwa ya wateja tuliopata, baadhi kuulizia products na wengine kununua kabisaa...
Masikitika kutangaza kuwa kwa sasa tumeishiwa products baada ya bidhaa zote kuwe zimeshanunuliwa. Mzigo mpya utawasili baada ya siku 9. Bado mnaruhusiwa kupiga simu na kuweka order zenu mapema.

Baada ya maoni ya wateja wengi, kwenye mzigo ujao package yetu itajumuisha na wi-fi router (ya line zote) hivyo tumeagiza na router kabisaaa...

Kwa mara nyingine tena, Ahsanteni kwa kutuunga mkono!

Regards,
Mangi wa Rombo....
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
13,075
Points
2,000
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
13,075 2,000
Je ninaweza kuangalia nikiwa nchi nyingine na camera iko Tz
Kama swali limejibiwa hili ntarudia kusoma comment
 
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Messages
9,290
Points
2,000
funzadume

funzadume

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2010
9,290 2,000
Mkuu sisi wa mikoani unatusaidiaje kuzipata? Je nikiziagiza naweza kuzifunga mwenyewe? Vp hicho kifaa cha internet nakipataje au kinakuja na hyo camera?
Tlia kuna maswali yameulizwa ya kimtego kumshika jamaa kama ni tapeli au lah. Watu wa mikoani mnaingiaga kichwa kichwa sana kwenye kutapeliwa
 
P

patanoo

Senior Member
Joined
Dec 1, 2017
Messages
147
Points
225
P

patanoo

Senior Member
Joined Dec 1, 2017
147 225
Habari!

Tunashukuru kwa idadi kubwa ya wateja tuliopata, baadhi kuulizia products na wengine kununua kabisaa...
Masikitika kutangaza kuwa kwa sasa tumeishiwa products baada ya bidhaa zote kuwe zimeshanunuliwa. Mzigo mpya utawasili baada ya siku 9. Bado mnaruhusiwa kupiga simu na kuweka order zenu mapema.

Baada ya maoni ya wateja wengi, kwenye mzigo ujao package yetu itajumuisha na wi-fi router (ya line zote) hivyo tumeagiza na router kabisaaa...

Kwa mara nyingine tena, Ahsanteni kwa kutuunga mkono!

Regards,
Mangi wa Rombo....
Je mnapatikana arusha
 

Forum statistics

Threads 1,324,583
Members 508,741
Posts 32,167,014
Top