Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 172
- 104
Ni kweli kabisaa mkuu!kukomesha wizi na uhalifu mwingine mamlaka ziondoe tozo kwenye vifaa angalau mtuuzie kwa 10,000 hadi makapuku wazimudu. tumechoshwa kupelekana polisi. isitoshe na polisi wana kazi nyingine nje na kufungua mashitaka ya wizi
Aiseee sasa ufanyaji wake wa kazi si paka kuwe na mwangaHabari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi tuna suluhisho la hayo yote....
Tunauza na kufunga kamera za uangalizi (CCTV) kwa gharama ndogo ya kuanzia 70,000/ tu! Kamera hizi ni za kisasa zinazokuwezesha kuona kinachojiri nyumbani kwako popote pale ulipo duniani. Ni rahis kuzifunga (Installation) kwani zina umbo kama la bulb za kawaida na zinachomekwa kwenye holder ya taa za kawaida za majumbani.
Unachohitaji ni smartphone na kifaa cha internet nyumbani kwako tu.
Ni nzuri kwa wenye watoto wadogo ambao wanashinda na dada wa kazi tu nyumbani, muda wowote unaweza kuangalia nini kinaendelea nyumbani, pia unaweza kuongea na wakakusikia.
Sifa nyingine ya kamera hizi:
1. Ina motion sensor
2. Inakutumia notification pale tu inapohisi movement (una-set muda ambao unataka iwe inakutumia tarifa kama kutakuwa na movememnt)
3. Inapiga alarm hivyo hata kama ni usiku utasikia larm na kuamka kama kutakuwa na movement sehem husika (Mf nje)
Karibuni sana wateja, tunakuletea popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0658402450.
View attachment 1181086View attachment 1181087View attachment 1181088View attachment 1181089
Weka picha zako hayo si umedownload Mkuu piga picha kifaa chsko kabisa sio hizo za kudownload
Mkuu sisi wa mikoani unatusaidiaje kuzipata? Je nikiziagiza naweza kuzifunga mwenyewe? Vp hicho kifaa cha internet nakipataje au kinakuja na hyo camera?Habari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi tuna suluhisho la hayo yote....
Tunauza na kufunga kamera za uangalizi (CCTV) kwa gharama ndogo ya kuanzia 70,000/ tu! Kamera hizi ni za kisasa zinazokuwezesha kuona kinachojiri nyumbani kwako popote pale ulipo duniani. Ni rahis kuzifunga (Installation) kwani zina umbo kama la bulb za kawaida na zinachomekwa kwenye holder ya taa za kawaida za majumbani.
Unachohitaji ni smartphone na kifaa cha internet nyumbani kwako tu.
Ni nzuri kwa wenye watoto wadogo ambao wanashinda na dada wa kazi tu nyumbani, muda wowote unaweza kuangalia nini kinaendelea nyumbani, pia unaweza kuongea na wakakusikia.
Sifa nyingine ya kamera hizi:
1. Ina motion sensor
2. Inakutumia notification pale tu inapohisi movement (una-set muda ambao unataka iwe inakutumia tarifa kama kutakuwa na movememnt)
3. Inapiga alarm hivyo hata kama ni usiku utasikia larm na kuamka kama kutakuwa na movement sehem husika (Mf nje)
Karibuni sana wateja, tunakuletea popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0658402450.
View attachment 1181086View attachment 1181087View attachment 1181088View attachment 1181089
Mkuu picha ya bidhaa hiyo tena kukuaminisha nimeandika kabisa Jamiiforums naWeka picha zako hayo si umedownload Mkuu piga picha kifaa chsko kabisa sio hizo za kudownload
Habari!Aiseee sasa ufanyaji wake wa kazi si paka kuwe na mwanga
Picha ya bidhaa hizi hapa wakuu nimezipiga sasa ivi utaona hapo nmeandika ID yangu ya JF na tarehe ya leo... shaka ondoa kaka bidhaa zipo za kutoshaaaNimekutuma uulize hili, kwa pamoja tusubiri majibu.
Habari!Hiyo Alarm nitisikia mimi tu au itamstia na aliyeingia bila ruksa
Habari!Kifaa cha internet kipi mkuu kitaje ?
Ahahahahahah!Hallo Hii sekta ina ushindani mkubwa na hasa toka kwa mchina. Isije kuwa tuna chat na mchina hapa.
Jibu hoja za wateja watarajiwa
Habari!Mkuu sisi wa mikoani unatusaidiaje kuzipata? Je nikiziagiza naweza kuzifunga mwenyewe? Vp hicho kifaa cha internet nakipataje au kinakuja na hyo camera?