Mangi wa Rombo
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 172
- 104
Habari! Je una wasiwasi na unataka kujua au kuona nini kinaendelea nyumbani/dukani au eneo lako la biashara? Je unatamani kuwa na kamera za uangalizi lakini unaogopa bei kubwa? Ondoa shaka sisi tuna suluhisho la hayo yote....
Tunauza na kufunga kamera za uangalizi (CCTV) kwa gharama ndogo ya kuanzia 70,000/ tu! Kamera hizi ni za kisasa zinazokuwezesha kuona kinachojiri nyumbani kwako popote pale ulipo duniani. Ni rahis kuzifunga (Installation) kwani zina umbo kama la bulb za kawaida na zinachomekwa kwenye holder ya taa za kawaida za majumbani.
Unachohitaji ni smartphone na kifaa cha internet nyumbani kwako tu.
Ni nzuri kwa wenye watoto wadogo ambao wanashinda na dada wa kazi tu nyumbani, muda wowote unaweza kuangalia nini kinaendelea nyumbani, pia unaweza kuongea na wakakusikia.
Sifa nyingine ya kamera hizi:
1. Ina motion sensor
2. Inakutumia notification pale tu inapohisi movement (una-set muda ambao unataka iwe inakutumia tarifa kama kutakuwa na movememnt)
3. Inapiga alarm hivyo hata kama ni usiku utasikia larm na kuamka kama kutakuwa na movement sehem husika (Mf nje)
Karibuni sana wateja, tunakuletea popote ulipo ndani ya Dar es Salaam.
Wasiliana nasi kwa simu namba 0658402450.