Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,947
- 33,313
Habari wapendwa. Kampuni yako ya Alji Gardening Solutions sasa iko tayari kukuhudumia kwa mahitaji yako ya Gardening, mbolea, maua na pots za kupandia maua. Tuna pots za cement, za mbao, za clay na ceramics. Chaguo ni lako. Kampuni imejipanga kubadili muonekano wa garden ya nyumbani kwako au ofisini kwako. Tuna uzoefu wa kutosha kuanzisha au/na kuhudumia garden yako. Tumejipambanua kama kampini stahiki kupokea wazo lako na kulifanya halisi. Tupe wazo lako tutakushauri na kukutengenezea kwa jinsi utakavyo kwa gharama ndogo sana. Njoo ujipatie maua ya aina zote kuanzia ya kawaida hadi yale adimu kabisa. Kwetu sisi gardening ni sehemu ya maisha.
Ofisi zetu ziko Dar es salaam, mbezi beach na tunapatikana kwa simu namba 0715 286272 au 0658 400723. Pia waweza kutuafuata Instagram kwa jina la aljigardens.
Njoo tubadilishane mawazo tubadili muonekano wa garden yako. Ifanye garden yako sehemu ya mapumziko yako. INAWEZEKANA!