Jipatie DSTV sasa

Jipatie DSTV sasa

Kwa nini Mteja anunue Decoder ya Explora Kipindi iki?
1. Mwezi mmoja bure wa kifurushi cha compact
2. Uwezo wa kurekodi kipindi kama yupo mbali na nyumbani
3. Uwezo wa kurekodi kipidi lkinachoendelea
4. Uwezo wa kusimamisha kipindi kinachoendelea
5. Uwezo wa kupeleka mbele na kurudisha nyuma kipindi kilicho rekodiwa
6. Uwezo wakukodi Filamu Mpya Mpya (Box Office) tsh. 5750
7. Uwezo wa kuangalia vipindi pendwa ambavyo amevikosa ndani ya wiki mfano. Mpira (Catchup)
8. Muonekano wa picha bila Chenga (HD)
9. Uwezo wa kuunganisha Decoder mbili ndani ya nyumba moja kuipa familia nafasi ya kufurahia kifurushi (Extra-view)
10. 3. Uwezo wa kufurahia kifurushi kokote mteja alipo kwa kutumia Simu za mkononi, Laptop,Tablet, Desktop (Dstv Now), Nakuunganisha watu wake wakaribu wanne.
11. 4. Uwezo wa mteja kufunga vipindi kwa kuweka neon siri kwa ulinzi wa watoto
12. 5. Uwezo wa mteja kuweka kumbukumbu ya kipindi pindi kinapoanza (Reminder)
13. 6. Mteja kuweza kuangalia Mechi ambazo hazipatikani kwa ving’amuzi pinzani (EPL, UEFA)
14. 7. Wingi wa vifurushi kwa mahitaji na uwezo wa kila mteja
15. 8. Nakwakupitia kifurushi cha kuanzia cha bomba mteja ataweza angalia Laliga zote, EPL mechi mbili kwa wiki pamoja na Serie A
16. Mengineyo- Sifa za ziada kwenye vipeperushi
Naomba nieleweshe vizuri # 9 & 10. Nina visimbuzi viwili kimoja kinatumia kadi na kingine hakitumii. Unaposema kutumia visimbuzi 2 unalipia kifurishi kwenye kimoja auu .!?
 
Umeuliza kama unankebehi na unajua mkuu, kusema hujui tena unakwepa majukumu mkuu
Mara zote watu wenye kebehi hudhani watu woote duniani wana kebehi kama wao!
Wajibu wako ni kutoa uelewa ndo maana umeweka hadi contact zako maana ake chochote unachoulizwa unatakiwa kujibu maana ni "huduma kwa wateja".
Sasa mkuu kama huwezi nijibu nitajiungaje na wewe sasa? Nimeuliza kawaida kabisa, "Ligi gani ya basketball inaoneshwa SS9?"
Hilo ndo swali langu mkuu. Mi naomba unijibu tuu tena vyepesi kabisa. Ni ligi ya.....! Full stop! Tofauti na hapo sina kingine, hazo sijui kebehi mi sina!
 
Mkuu tuna chanel zaid ya 70 kwa kifurush hcho na hakiuzwi 20 bali 19000 mkuu
Nyumbani ni nyumbani tuu chief, siwezi nikalipia dstv kuangalia mambo ya mbele ilhali ya nyumbani hayapo, mm mzee wangu akiingia sebuleni tu cha kwanza ni ebu weka itv hapo, ikifika saa tatu usiku utasikia ebu niwekee dira ya dunia star tv.
 
Kwa nini Mteja anunue Decoder ya Explora Kipindi iki?
1. Mwezi mmoja bure wa kifurushi cha compact
2. Uwezo wa kurekodi kipindi kama yupo mbali na nyumbani
3. Uwezo wa kurekodi kipidi lkinachoendelea
4. Uwezo wa kusimamisha kipindi kinachoendelea
5. Uwezo wa kupeleka mbele na kurudisha nyuma kipindi kilicho rekodiwa
6. Uwezo wakukodi Filamu Mpya Mpya (Box Office) tsh. 5750
7. Uwezo wa kuangalia vipindi pendwa ambavyo amevikosa ndani ya wiki mfano. Mpira (Catchup)
8. Muonekano wa picha bila Chenga (HD)
9. Uwezo wa kuunganisha Decoder mbili ndani ya nyumba moja kuipa familia nafasi ya kufurahia kifurushi (Extra-view)
10. 3. Uwezo wa kufurahia kifurushi kokote mteja alipo kwa kutumia Simu za mkononi, Laptop,Tablet, Desktop (Dstv Now), Nakuunganisha watu wake wakaribu wanne.
11. 4. Uwezo wa mteja kufunga vipindi kwa kuweka neon siri kwa ulinzi wa watoto
12. 5. Uwezo wa mteja kuweka kumbukumbu ya kipindi pindi kinapoanza (Reminder)
13. 6. Mteja kuweza kuangalia Mechi ambazo hazipatikani kwa ving’amuzi pinzani (EPL, UEFA)
14. 7. Wingi wa vifurushi kwa mahitaji na uwezo wa kila mteja
15. 8. Nakwakupitia kifurushi cha kuanzia cha bomba mteja ataweza angalia Laliga zote, EPL mechi mbili kwa wiki pamoja na Serie A
16. Mengineyo- Sifa za ziada kwenye vipeperushi

kitu cha explora ni balaaa tupu ... nyumba nyingi wanatumia exxplora kwakua inavitu vingi zaidi ya HD za kawaida na zappa
 
Na extra view huwezi kufanya kwa zapa kwa zapa?
Maaana najua moja unai tune pr na nyngne secondary kama zina uwezo sawa.
Hyo inawezkan tu coz wanaswap card inakuwa moja
 
Naomba nieleweshe vizuri # 9 & 10. Nina visimbuzi viwili kimoja kinatumia kadi na kingine hakitumii. Unaposema kutumia visimbuzi 2 unalipia kifurishi kwenye kimoja auu .!?
Mkuu hzo mbil unatumia dish moja unaswap inakuw card moja so utakuwa unalipia huduma ya extra view kuipa extra decoda kuona na gharama ni 26500 kwa mwezi so kama hom watoto wataangalia katuni zao na ww utaangalia kwako kwa rimot yako na wao yao
 
Naomba nieleweshe vizuri # 9 & 10. Nina visimbuzi viwili kimoja kinatumia kadi na kingine hakitumii. Unaposema kutumia visimbuzi 2 unalipia kifurishi kwenye kimoja auu .!?
Na hyo dstv now unadownload kweny play store zen unaingiza decoda namba hapo unaenjoy kwa kutumia cm yako
 
Mara zote watu wenye kebehi hudhani watu woote duniani wana kebehi kama wao!
Wajibu wako ni kutoa uelewa ndo maana umeweka hadi contact zako maana ake chochote unachoulizwa unatakiwa kujibu maana ni "huduma kwa wateja".
Sasa mkuu kama huwezi nijibu nitajiungaje na wewe sasa? Nimeuliza kawaida kabisa, "Ligi gani ya basketball inaoneshwa SS9?"
Hilo ndo swali langu mkuu. Mi naomba unijibu tuu tena vyepesi kabisa. Ni ligi ya.....! Full stop! Tofauti na hapo sina kingine, hazo sijui kebehi mi sina!
We jamaa ww
 
Nyumbani ni nyumbani tuu chief, siwezi nikalipia dstv kuangalia mambo ya mbele ilhali ya nyumbani hayapo, mm mzee wangu akiingia sebuleni tu cha kwanza ni ebu weka itv hapo, ikifika saa tatu usiku utasikia ebu niwekee dira ya dunia star tv.
Kumbe hoja hapo ni Chanel za ndan sio bei?
 
kitu cha explora ni balaaa tupu ... nyumba nyingi wanatumia exxplora kwakua inavitu vingi zaidi ya HD za kawaida na zappa
Mkuu hii kitu wabongo wengi hawaitumii kisa bei bt ukimkuta mwenzio anaitumia ipo bomba sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom