Jipatie DSTV sasa

Jipatie DSTV sasa

Mr Mikazo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2016
Posts
1,595
Reaction score
808
Jipatie king'amuz cha dstv sasa na uenjoy burudani kama zote HV.
Kifurushi cha bomba ndani ya wiki hii
• UEFA Champions League – SS 8
• Serie A – SS 8
• CAF Confederation Cup – SS 9
• Zambia Super Division – SS 9
• CAF Champions League – SS 9
• WWE- SS 4
• Net Ball – SS 1O
• Rugby – SS 8
• Basketball – SS 9
• Motorsport- SS8
• Drone Sport- SS 8

Mteja anaweza kupata burudani zote izi kwa kujiunga nasi kwa Tsh 79000/= nakujipatia kifurushi cha Bomba ndani ya mwezi huu bure.
 
Nichek hapa uletewe had him
0743253260
 
Mkuu hapo umetupitisha chaka.....
Hapo kwenye Basketball SS9.
Ligi gani ya basketball inaoneshwa hapo??
 
Bora useme.... Nna miezi sasa sijalipia kifurushi Maana elf 20 kila mwezi kwa kipi haswa na sasa hivi hata local channel hamna
Eti elfu 20 ndio package ya chini kabisa na hapo utaambulia maisha magic bongo na vistesheni kadhaa vya mbele, aisee toeni ujinga wenu hapa, natafuta mteja nimuuzie hili li kingamuz ata kwa elfu 40
 
Dstv hatujivunii local chanels tu, ndo maana unapata movies za kibongo kihindi kwa kiswahl na mengneyo, mpira ndo kama wote hv
 
Eti elfu 20 ndio package ya chini kabisa na hapo utaambulia maisha magic bongo na vistesheni kadhaa vya mbele, aisee toeni ujinga wenu hapa, natafuta mteja nimuuzie hili li kingamuz ata kwa elfu 40
Mkuu tuna chanel zaid ya 70 kwa kifurush hcho na hakiuzwi 20 bali 19000 mkuu
 
Eti elfu 20 ndio package ya chini kabisa na hapo utaambulia maisha magic bongo na vistesheni kadhaa vya mbele, aisee toeni ujinga wenu hapa, natafuta mteja nimuuzie hili li kingamuz ata kwa elfu 40

unalipia bomba pack unalalamika hivyo kuna watu wanlipia premium pack 169000 na wanalipa miezi 6 .. tv wanaangalia weekend tu
 
Mimi nimekuuliza ligi gani ya basketball inayooneshwa SS9 ulitakiwa kunijibu ni ligi ya....... Na si kunilimbikizia swali jingine la sijui tv1 inaonesha ligi gani! Mi naijulia wapi hata hiyo tv1 yako?

We nijibu full stop!
Umeuliza kama unankebehi na unajua mkuu, kusema hujui tena unakwepa majukumu mkuu
 
Kwa nini Mteja anunue Decoder ya Explora Kipindi iki?
1. Mwezi mmoja bure wa kifurushi cha compact
2. Uwezo wa kurekodi kipindi kama yupo mbali na nyumbani
3. Uwezo wa kurekodi kipidi lkinachoendelea
4. Uwezo wa kusimamisha kipindi kinachoendelea
5. Uwezo wa kupeleka mbele na kurudisha nyuma kipindi kilicho rekodiwa
6. Uwezo wakukodi Filamu Mpya Mpya (Box Office) tsh. 5750
7. Uwezo wa kuangalia vipindi pendwa ambavyo amevikosa ndani ya wiki mfano. Mpira (Catchup)
8. Muonekano wa picha bila Chenga (HD)
9. Uwezo wa kuunganisha Decoder mbili ndani ya nyumba moja kuipa familia nafasi ya kufurahia kifurushi (Extra-view)
10. 3. Uwezo wa kufurahia kifurushi kokote mteja alipo kwa kutumia Simu za mkononi, Laptop,Tablet, Desktop (Dstv Now), Nakuunganisha watu wake wakaribu wanne.
11. 4. Uwezo wa mteja kufunga vipindi kwa kuweka neon siri kwa ulinzi wa watoto
12. 5. Uwezo wa mteja kuweka kumbukumbu ya kipindi pindi kinapoanza (Reminder)
13. 6. Mteja kuweza kuangalia Mechi ambazo hazipatikani kwa ving’amuzi pinzani (EPL, UEFA)
14. 7. Wingi wa vifurushi kwa mahitaji na uwezo wa kila mteja
15. 8. Nakwakupitia kifurushi cha kuanzia cha bomba mteja ataweza angalia Laliga zote, EPL mechi mbili kwa wiki pamoja na Serie A
16. Mengineyo- Sifa za ziada kwenye vipeperushi
 
Kwa nini mteja anunue Decoder ya HD 5 kipindi iki ?
1. Muonekano wa picha bila chenga (High Definition)
2. Uwezo wa kuunganisha Decoder mbili ndani ya nyumba moja kuipa familia nafasi ya kufurahia kifurushi (Extra-view)
3. Uwezo wa kufurahia kifurushi kokote mteja alipo kwa kutumia Simu za mkononi, Laptop,Tablet, Desktop (Dstv Now), Nakuunganisha watu wake wakaribu wanne.
4. Uwezo wa mteja kufunga vipindi kwa kuweka neon siri kwa ulinzi wa watoto
5. Uwezo wa mteja kuweka kumbukumbu ya kipindi pindi kinapoanza (Reminder)
6. Mteja kuweza kuangalia Mechi ambazo hazipatikani kwa ving’amuzi pinzani (EPL, UEFA)
7. Wingi wa vifurushi kwa mahitaji na uwezo wa kila mteja
8. Nakwakupitia kifurushi cha kuanzia cha bomba mteja ataweza angalia Laliga zote, EPL mechi mbili kwa wiki pamoja na Serie A
Mengineyo- Sifa za ziada kwenye vipeperushi .
 
Kwan HD5 ina tofaut na hizi zappa za kawaida?
 
Na extra view huwezi kufanya kwa zapa kwa zapa?
Maaana najua moja unai tune pr na nyngne secondary kama zina uwezo sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom