Hiyo pikipiki bwana. Acha kudanganya watu wenye uchu na kumuliki gari. Na nyie mnaouliza inamaana hamjuwi kuwa hakuna gari la ukweli linaloweza likauzwa kwa bei hiyo hapa Tanzania? Bajaj yenyewe ya ukweli siku hizi ni mpaka 6m sembuse gari ya 2.5m. Shauri zenu.