Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,259
- 1,389
- Thread starter
- #1,081
Unahitaji TV nch ngapi bossHakuna offa za TV msimu huu wa Ramadhan?
Unahitaji TV nch ngapi bossHakuna offa za TV msimu huu wa Ramadhan?
32 naomba offa mwenzi huu wa Ramadhan ili Mungu nae akupe baraka zakeUnahitaji TV nch ngapi boss
Leta 390,000 nikupe ouling32 naomba offa mwenzi huu wa Ramadhan ili Mungu nae akupe baraka zake
Kwa laki 6 napata naomba smart tv inch 32 ipi napata?32 naomba offa mwenzi huu wa Ramadhan ili Mungu nae akupe baraka zake
mbona umejilipua namna hiyo??Kwa laki 6 napata naomba smart tv inch 32 ipi napata?
Kwa smart tv kama lg au samsung bado nimejilipua?mbona umejilipua namna hiyo??
Kajilipua kwel kwelmbona umejilipua namna hiyo??
585,000 utapata tclKwa laki 6 napata naomba smart tv inch 32 ipi napata?
Hakuna mkuuMkuu nahitaji CPU pekee,kama ipo ntaipata kwa bei gan
Asante kwa mrejeshoHakuna mkuu
Vipi macromax smart kwa laki nne napata sijui kama jina nimepatia coz ni brand mpya nimeona mkiitangazaLeta 390,000 nikupe ouling
380,000 kutuma juu yetuMkuu nahitaji sony dav tz 140 nipo lindi gharama jumla kiasi gani pamoja na ya kutuma
Ongezea 50 elfuVipi macromax smart kwa laki nne napata sijui kama jina nimepatia coz ni brand mpya nimeona mkiitangaza
Parefu kiongoz labda niongeze 20 kwa kujikakamua sanaOngezea 50 elfu
Mkuu 420 si TV ya kawaida 450 ndio top ukiishindwa itakuwa sio rdhiki kwanguParefu kiongoz labda niongeze 20 kwa kujikakamua sana