Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,259
- 1,389
- Thread starter
- #4,261
mkuu unafriji na bei zake zipoje
Unahitaji ukubwa gani
mkuu unafriji na bei zake zipoje
mkuu,nahitaj soundbar " sonos arc" bila subwoofer yake.
vp mna bei gan asee!
lita 145 mpaka 185 kulingana na jinsi lilivyo ndo ntachagua kampuni iwe aborder,mr uk au hisenceUnahitaji ukubwa gani
hisense zipo nashusha zote zilizopolita 145 mpaka 185 kulingana na jinsi lilivyo ndo ntachagua kampuni iwe aborder,mr uk au hisence
Hii kampuni bei zake zimesimama sanaMkuu Hisense smart TV inch 43 sh ngapi?
Ni kweli ila ni nzuri mno na nashukuru nilipata kutoka kwake kitu frameless 😍 na bei ya offerHii kampuni bei zake zimesimama sana
How much....kama hujaridhika kuweka hapa pm ipoNi kweli ila ni nzuri mno na nashukuru nilipata kutoka kwake kitu frameless na bei ya offer
Naomba kujua bei ya flat screen 32' ambazo sio smart but zina technology ya O-LED.
Naomba kujua kwa kampuni za Hisence, TCL, Samsung SONY & LG.
OkayTCL Hawana Normal wana Smart Pekee
Hisense Normal Frameless 395,000
LG Normal bei 485,000
Sony Normal bei 490,000
Samsung Normal bei 485,000