codifier
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 439
- 854
Ok!Zipo boss ila TV n inch 43 mpk 65 na 40 mpaka 24
Mkuu tupia picha ya business card yenu kwa ajili ya mawasiliano mana mwisho wa mwezi nakuja kuchukua
Ok!Zipo boss ila TV n inch 43 mpk 65 na 40 mpaka 24
Boss mvua imekata umefika wapiNatafuta viti vya saloon, bei zenu zikoje? Niko njiani nakuja kkoo kuvitafuta
Hii inatoa kama AC au ni FENI ya Kuzunguka kawaida
Air cooler ndogo
Price 130,000
Mkuu nakuja kuchukua hii
TV ouling inch32 double screen ina protecta
VGA USB AV HDMI
Price 370,000 warrant 2yrs
OK
Water pump inatumia petrol pamoja na gess chagua ww
Price 420,000
Ninazo za petrol tumkuu naya diesel unayo?
Mkuu unazo kama hizi bt zilizounganishwa na king'amuzi moja kwa moja??
Samsung inch 32
VGA USB AV2 HDMI
Price 540,000
Mkuu ukiacha utofauti wa kampuni kuna tofauti zipi kati ya hii na ile sumsung coz naona bei zimetofautiana sana.
TV ouling inch32 double screen ina protecta
VGA USB AV HDMI
Price 370,000 warrant 2yrs
Nautaka huo theatre Niko ZNZ kama VIP nicheki pmTuna bidhaa za maofisini na majumbani tupo Kariakoo msimbazi Azania benki flow ya chini kabisa pia mikoani tunatuma
Bidhaa zetu ni
Home theater aina zote
Amplifier aina zote
Friji friza aina zote
Water pump aina zote
Majenereta aina zote
TV flat za kisasa aina zote
Redio aina zote
Printers aina zote
Meza za urembo na TV aina zote
Redio za gari na spika Zane
Ac fane air cooler aina zote
Computer na laptop aina zote
Vifaa vya saloon za kike na kiumes
Solar panel na vifaa vyake
Tv za solar
Projecta aina zote
Na bidhaa nyingine nyingi kwa bei nafuu
With Bluetooth memory card and flash
FM radio remote control
Price 310,000
Kwa bei hy hata china hupatiNahitaji flat tv inch 40 nina 450.
0753255844
Ukitaka kutumia kama fane au kama ac sema hii tumemaliza leo zipo kubwa yake takufanyia bei nzuri kama unatakaHii inatoa kama AC au ni FENI ya Kuzunguka kawaida
Poa mkuu unipigie usijaliMkuu nakuja kuchukua hii
Zipo mkuuMkuu unazo kama hizi bt zilizounganishwa na king'amuzi moja kwa moja??
Zipo inch 21 mpk 18Ninataka flat screen ya 150000
Ndio mkuuMku hii Air Cooler ni air condition .
Nipigie au ntext 0672852415Nautaka huo theatre Niko ZNZ kama VIP nicheki pm