Jipatie Asali kutoka Skonke

Jipatie Asali kutoka Skonke

erick mugisha

New Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wadau,Nina asali nyingi kutoka skonke tabora.
Bei
Lita 11000
Lita 5 elfu hamsini na tano
Lita 20 nafanya discount naiuza kwa la ki mbili
 
Skonke Road, Tukutuku, Ngambo, k/kkooo, ipuli, kidongo chekundu,
Kumuka sana maeneo hayo
 
Sikonge juzi nimenunua dumu la Lita 20 elfu 90. Wewe unauza laki 2, ina nini cha ziada. Na hujasema uko wapi, labda kama upo SA.
 
Matapeli wengi jaman...kuna mtu anaileta asali kutoka tabora nzuri na tamuuuuuu anauza kwa lita 8000 ila ww unakuja na kituko cha 11000 utaila mwenyew hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom