Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,836
Kwa hakika maandishi yake kisarufi ya kiswahili yamekaa tenge, kuna makosa, lakini pamoja na hayo, jamaa ana hoja yenye mashiko na hasa anapoisema jamii yetu kuogopa kuhoji mambo ya msingi na ngojera za amani na utulivu bila kutanguliza HAKI mbele.
yote kwa yote, kujua kusoma na kuandika hakumfanyi mmoja kuwa GT, wapo watu ambao hawakujua kusoma na kuandika lakini wamekuwa na maono makubwa na yanayoisaidia jamii yetu hadi leo, kifupi hapa unaweza kupata mawazo mazuri yanayojenga toka kwa mtu asiyejua kuandika wala kusoma. Nimpongeze mdau kwa angalau kuandika alichoandika na nina hakika hakihusiana na kabila