D
Hata wowowo hanaUtafiti ulihusisha mataifa mangapi?
Njia zilizotumika kufanyika kwa utafiti huu tafadhari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wowowo hana
Unafanya masihara na wowowo nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Samahani mkuu,huyo kwenye avatar ndio wewe? Wengine tuna hamu ya kukujua, tukuone angalau tuguse pindo LA vazi lako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka picha yake mkuu ili tuthibitishe.Hawajamuona Frolah wa AggaKhan hao
Hahaha Mkuu nitamwaga kuku wengi kwenye mtama kidogoWeka picha yake mkuu ili tuthibitishe.
Hapo sasa.Hata wowowo hana
Ha ha ha sasa mbona hukuogopa kumtaja jina na mahali anapofanyia kazi?Hahaha Mkuu nitamwaga kuku wengi kwenye mtama kidogo
Weka picha yake tuioneHawajamuona Frolah wa AggaKhan hao