
Mimi ni hacker mkuu pia nina uwezo wa kumpiga ban member yeyote hapa JF nikitaka!Mmh umejuaje?![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

kwahiyo mshana umeshachukua mzigo kwa monicca??
jibu acha kucheka
Kama kachukua ndio utampan monicca maana mada inapotezwa kabsa uleanzisha nyingine juu kwa juujibu acha kucheka
Kipi kinakuogopeshaAisee hio maiti inaogofya Sana mimi siwezi kusafiri NAYO
Jana usiku alikuwa busy sana kwenye pm ya moniccca!kwahiyo mshana umeshachukua mzigo kwa monicca??

Maiti ilivyokaa unaweza kuhisi itakugusaKipi kinakuogopesha