Jionee kuku toleo jipya

Hee! hadi nyama yake ni ya rangi nyeusi!.?[emoji15] ...aa mi hapana[emoji45]
 
Hahaa! sasa huyu kuku wa sayari gani tena mbona Dunia haishi maajabu wajameni!
 
Hao nadhani mkuu mshana Jr atawamaliza soon,maana kidogo tu utasikia anamwagiza mteja wake kuku mweusi asiyekuwa na doa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…