Jinsia ya mtoto

CHEMBUNA

New Member
Mar 4, 2009
4
0
unafanyajae kuhakikisha wazazi wanazaa mtoto wa jinsia wanayotaka,badala ya kuachia nature?mwenye uelewa anielimishe
 

Edson

JF-Expert Member
Mar 7, 2009
9,758
4,704
mimi na dr G tumewahi kutoa elimu hii humu zaid ya mara tano....tafuta thrad hiyo ipo inazungumzie mambo haya
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom