Jinsi yakutumia adobe photoshop

charle

Member
Sep 17, 2011
9
0
Habrini wana jamii forums mimi huwanapenda sanakucheza sana napicha kwa kutumia editing software kama magic photo editor,photoshine lakini hizi nimezichoka sasa nataka mnisaidie jisi yakupata mwongozo utakao niwezesha kutumia adobe photoshop7 nimedownload jana nikashindwa kutumia asanteni
 
yah leh he is right tena mi narecomend cs5 au cs6 kama computer yako ina uwezo hio 7 haifai.

Then kujifunza adobe ni easy kama hutataka mafanikio ya haraka hapa utahitaji internet tu.

Labda leo unasema najifunza kuchange background just google "how to change background adobe photoshop cs5 begginer"
Utaona tutorial kibao ukiweza hiyo unamove step nyengine hivo hivo hadi na wewe unakua expert

Ishu za kucheza na photo watu wanasomea miaka mingi usitarajie ujue kwa masaa siku au mwezi itachukua muda just kua mvumilivu na ongeza bidii kujifunza bila kukata tamaa
 
for Cs5 download a book called Photoshop for. Dummies yani nilikua sijui kitu but nilivyokisoma nakufanya exercise zake nakaribia kua pro
 
pia unaweza kuangalia various tutorials kwenye YOUTUBE! ukiingia YOUTUBE just search photoshop cs tutorials! Yes, PHOTOSHOP CS 5 au 6 ni latest! Achana na Photoshop 7. Mie natumie Photoshop CS 5, ni BOMBA!
 
CS4,CS5+CS6 kwa computer yenye RAM ya 1GB wapi na wapi?

Si kuna portable version? Nimeziona website nyingi nyingi zinaconsume ram 256 minimum recomended 512mb haya madude ya kuinstall sometime hayana maana. Na portable ni rahisi kuicompress maana zinakua na mb 64 hadi 128 then uki extract ndo inafika hiyo gb bandwitch saviiiiing
 
naomba link ya hizo portable
 
nna adobe creative suit cs5 napiga safi kabisaaa kwenye machine yenye ram 1GB

Yap Even My Broda Frank G alikua Akitumia Cs5 Last Yer Kwenye Dell D620 ram 1gb Na Ilkua Ina Work Just Smooth!!! labda Tatzo Iwe Processor... pc Ake Ilkua N dual Core.....
 
Last edited by a moderator:
nna adobe creative suit cs5 napiga safi kabisaaa kwenye machine yenye ram 1GB

mkuu hakuna "adobe creative suit cs5"
CS is abbreviation of Creative Suit.

Mie sio professional ila nautundu wa Photoshop'

CS5 iko pouwa ila ka unahitaji kufaham photoshop' utahitaji kufaham basic tools zake ka rubber,brush,selection,...e.t.c' you'll need to know how they work,what they can do,...e.t.c

nchek FB' unaweza ona picha chache nlizo fanya by using Photoshop!

#KelvOn Goyayi
 
nilivyosema cs5 na creative suit nilimaanisha same thing,
FYI: im expert Graphic designer: Photoshop ni maisha yangu, naamka nayo, nalala nayo, ila nitafurahi kuona kazi zako mkuu Kel.G
 
Last edited by a moderator:
nilivyosema cs5 na creative suit nilimaanisha same thing,
FYI: im expert Graphic designer: Photoshop ni maisha yangu, naamka nayo, nalala nayo, ila nitafurahi kuona kazi zako mkuu Kel.G

JOE' mie sio expert ila huwa najairbu' unaweza ona kazi zangu chache kupitia facebook' natumia KelvOn Goyayi. Nami pia ngefurahi kuona kazi zako as an expert
 
Last edited by a moderator:
JOE' mie sio expert ila huwa najairbu' unaweza ona kazi zangu chache kupitia facebook' natumia KelvOn Goyayi. Nami pia ngefurahi kuona kazi zako as an expert

nilipoteza kazi zangu nyiingi kwenye hard disk, ila baadhi ya kazi zangu (picha na psd) anazo Nyasiro pia chache sijazi upload kwa net
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom