Habari za saa hizi ndugu zangu,naomba munisaidie jinsi yakufuta whatsapp kwenye nokia Asha 311 nmeshajaribu mpaka nmechoka nw bila solution bcs imeexpire nkiupgrade feedback inakuja service nt available wakati mb nnazo zakutosha na upande wa connection upo fresh@
please npo serious ndugu zangu.