Jinsi ya ubadili software 32 bit ifanyekazi kwenye 64 bit

Jinsi ya ubadili software 32 bit ifanyekazi kwenye 64 bit

Logik

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
32
Reaction score
4
Habari zenu Wadau,

Naomba msaada jinsi ya kubadili software kutoka 32 bit kwenda 64 bits.

The version of this file is not compartible with the version of Windows you're running. Check your computer's system information to see whether you need an *86(32-bit) or *64(32-bit) version of the program and then contact the software publisher

Asanten
 
Huwezi kubadili ila cha kufanya hyo software unayotaka install tafuta 64bit version yake kama zitakushinda badilisha OS yako na utumie OS ya 32-bit ili uweze kuinstall software zako za 32bit.
 
32 Bit Software inaweza run ktk 64Bits kama depedency zake zote zitakuwepo. Kama sijasahau inarun in 32 Bit mode!
Kwa nini usiwa contact hao walioitengeneza au ni ya wizi aka Cracked?
 
Hiyo error message inaonesha unataka ku install a 64 bit software kwenye OS ya 32 bit. You need to either get the 32 bit version of that software, or use a 64 bit OS.
 
Back
Top Bottom