Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 861
- Thread starter
-
- #81
Boss unaanzaje kukataa wakati pesa inaingia bank? Baada ya pesa kuingia niliwafat ndio wakanipa hizo Sheri zao lakini nikawakomalia San kwamba wnipe hel zangu Mimi nikakomae na biashara zangu nikaandika hadi baraua makao makuu kuwaambia Mimi nilikua nafanya kazi kama kibarua tu lakini mwezi ulivofika mwisho wakweka Tena Hela na barua hawakujinuUlifanya makosa kukubali hiyo laki mbili kwa miezi SITA, kwasabb sasaiv umeshaingizwa kwenye mfumo huo. Isingekua hvo ningekuconnect kwa maneja mmoja wa hapo nssf akusaidie
Hukufuatilia, Kuna jamaa alifanyiwa hvo akazikata na akaandika barua na hawakuingiza tena wakamrekebishia, nadhani ulienda kwa hasira na ukakosea maelezo yako zaidBoss unaanzaje kukataa wakati pesa inaingia bank? Baada ya pesa kuingia niliwafat ndio wakanipa hizo Sheri zao lakini nikawakomalia San kwamba wnipe hel zangu Mimi nikakomae na biashara zangu nikaandika hadi baraua makao makuu kuwaambia Mimi nilikua nafanya kazi kama kibarua tu lakini mwezi ulivofika mwisho wakweka Tena Hela na barua hawakujinu
Baada ya kuisha miezi 6 week kadhaa zimeoita wanenipigia simu niupeleke chetu ya degree yani wamepiga simu kabisa 😄
Sasa saizi mi Nataka kuzitoa kwa njia ya kinyemela nasikia wahuni wapo wanaojua njia hizo ndio Nataka huo msaada wai na tutachekian vizuri na uaminifu upo
Kwaio kama meneja anaweza kunisaidia mkuu naomba msaada wako tu Mimi mahitaji connect tu pesa itoke
Naomba mkuu na shida iyoNina namba ya Regional Manager pale Arusha Mr.Komba
Labda ilikua bahati yake mkuu au labda wenyewe ndio wakijichanganya Mimi pia nimeandika barua Tena mapema kabisa baada ya kuingiziwa pesa kwa mwezi wa kwanzaHukufuatilia, Kuna jamaa alifanyiwa hvo akazikata na akaandika barua na hawakuingiza tena wakamrekebishia, nadhani ulienda kwa hasira na ukakosea maelezo yako zaid
Msaidie mtoa mada mkuu maana hizo sharia zao sio rafiki kabisaHukufuatilia, Kuna jamaa alifanyiwa hvo akazikata na akaandika barua na hawakuingiza tena wakamrekebishia, nadhani ulienda kwa hasira na ukakosea maelezo yako zaid
Hivi mpaka mwambiweje ndiyo mjue kwamba mna takataka pale juu!Yani pesa zako halafu wahuni ndio wanapanga namna ya kuzipata.
Tanzania yangu.
Raisi wangu.
Taifa langu.
Haya kazi iendelee.
Njia zipo sema wanabana connection humuHivi kumbe kuipata hii ela kwa rushwa inawezekana ee, kuna m3 yangu nilikuwa nimeikatia tamaa ngoja nianze upya tena kuiomba, mwenye kumjua wa kufanya mchongo huu nssf ilala au ubungo nijulishe pls
Kwa njia hii hutoboi paka wakupe termination ndio unapewa pesamimi niliachaga kazi sehem sikuandika barua ya kuacha niliwaambia tu kwa mdomo wabwanga eh kazi mm basi nikaandika barua ya kukabidhi tu vitu vyao vya ofisi hii kazi ilikua changamoto kwangu sasa nna hela zangu huko nazipataje?
Mie nimefungulia.mwanza.anayejua mtu please anishike mkono namie ninayo.majiMi pia muhanga nipo arusha anaemjua mtu aje pm
I pia