Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 683
- 861
Hivi vikokotoo ni ushenziWakuu habari zenu poleni na majukumu ndugu zangu
Mimi nilikua nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya waturuki inaitwa Yapi merkez inayojenga reli ya SsSGR ambyo kwa Sasa Iko lot 3 kwa Sasa kazi imesimama na hakuna kinachoendelea Sasa sisi tulipimzishwa kuanzia mwezi wa kwanza kutokana na kampuni kupunguza matumizi na sababu nyingine
Mimi niliajiriwa kama kibaria tu upande wa survey baada ya kupambana kutumia elimu niliyonayo kupata kazi basi niliamua kujichanganya Ili nifanye kazi yoyote nipate mtaji
Sasa bhana baada ya kufika pale NSSF nikapewa form nikajaza Sasa nikajaza na elimu niliyokua nayo yani degree Baad ya mda kufika nikapewa laki 2 wakati nilikua nategemea zaidi ya milioni 4 kuwafata wakasema Mimi ni professional kwaio nalipwa kwa kikokotoo yani kwa jinsi walipiga hesabu zao basi nalipwa laki 2 kwa mwezi paka iiishe miezi 6 baada ya hapo kama hujapata kazi Tena unasubiri miezi 18 na kama Bado haujapata Tena kazi unaenda kuwaomba uwe unajichangia paka ufikishe miaka Yao wanayotaka
Sasa wakuu Mimi nimeshakaa miezi 6 imeisha na kazi sijapata na njaa inazidi kila nikicheki maisha yamekua magumu sana na nilitaka nipate mafao Ili nianzishe biashara vidogo vidogo
Sasa ombi langu kwa wale wazee wa michongo Mimi Nataka kuzitoa zile pesa kwa Njia yoyote mana haiwezekani wakae na pesa yangu alafu Mimi Sina mtaji Wala pankushika Sina
Kama unajua njia ya kuzichomoa huko basi njoo PM aisee tuone tunafanyaje
Nitafurahi kama nitapata msaada wakuu kwa wale watu wa madili aisee nisaidieni wakuu mana hii serikali ya Maza siielewi
Mimi nimefanya kama kibarua Ili nipate mtaji nianzishe maisha mengine alafu wanazishikilia pesa zangu kisa nimesoma yani sielewi alieleta kikokotoo alikua na maana Gani
Kama unaweza michongo njoo pm tuyajnge waungwana
Shukrani
Pole ndugu. Wanavyokatalia hizo.pesa utadhani za kwao. Kikokotoo ni usengerema mtupuWakuu habari zenu poleni na majukumu ndugu zangu

unamzidi useng*,una wivu kama mke mwenza.Dah, una degree ? Kwa uandishi huu mimi wa la sita B nakuzidi !
Wewe ni mbwa jikeunamzidi useng*,una wivu kama mke mwenza.
Yaani pesa yangu niliyoihanganikia kwa jua na mvua , mpaka ni mnyenyekee mtu na kumhonga juu.Nenda NSSF ukiwa na barua ya kuachishwa kazi na kitambulisho chako cha wanachama wa mfuko ongea vzr na mfanya kazi atakaye kuhudumia mpe ukweli wa moyo wako mwambie akifanikisha kukupatia hyo pesa utampatia % flani. Wiki ni ndefu utakuwa umepata pesa yako.
Utaki unaacha wala hawana shida na wewe .Yaani pesa yangu niliyoihanganikia kwa jua na mvua , mpaka ni mnyenyekee mtu na kumhonga juu.
Huu ni unyonyoji,
Sio kila mtu ana roho hiyo ya kudhulumu bali wengine waelewa.Wabongo wazinguaji Sana. Unaweza mbebea Mtu Dhamana, akipata hela Yake anabadilika. Kama makubaliano yalikuwa 5% ya hela yote, akipata anatoa 1% au simu ndo ana wablock kabisa. Lawama na fedhea zinaamia Kwa muunganishaji. Kila Mtu apambane na Hali Yake.
Hapewi.Hivi mfano mfanyakazi ameamua kuacha kazi na akaandika barua ikafika kwa muajiri nayeye akakubali, je huyu mtu alieacha kazi ataweza pata stahiki zake za NSSF/PSSF.?