mkuu umeongea point japo watu hawatakuelewa (haaswa kwa utajiri wa haraka)kuwa yafuatayo.
-askofu au nabii au jiitee mtume kabisa
-anzaaa kuimbaa taarabu coz mzee yusuph hana mpinzani
-kuwa mwizii ikiwezekana jambazi kabisa
- tafuta mwanamke wa kichagaa
-jiunge team lowassa.
-anzaa udalali wa papuchi za watoto classic wazuri sio kina watoto wanuka mbu.nye
-anzaaa kwa babaa askofuu gwajima au matransfomaa
WUDI, economistaWUDI
1Timotheo 6:9-10 "Lakini hao watakao kuwa na mali huanguka katika majaribu na tanzi, na tamaa nyingi zisizo na maana, zenye kudhuru, ziwatosazo wanadamu katika upotevu na uharibifu. Maana shina moja mabaya ya kila namna ni kupenda fedha....."
If you believe in Bible then that verse will be helpful
Fanya kaz kwa bidii vinginevyo utaendelea kuwa maskin na utakufa na umaskun wako
nenda kwa shekhe yahaya magomeni!
Absolutely
Jamani kama kichwa kinavyojieleza, nauchukia sana umaskini. Siupendi umaskini, nimefanya kazi sana za kuajiriwa na huu ni mwaka wa kumi, lakini sitajiriki. Nifanyeje?
nikiingia kazini tarehe 16 nitaanza kufanyia kazi mbinu hii.Mbona hujataja hii njia ya kupata utajiri?
"Jifunze ku-save pesa benki kidogo kidogo kama 25% ya mshahara wako kila mwezi, hii ni pamoja na kuwa na nidhamu katika matumizi ya pesa zako"
Imeekaaje hiyo???