You cant be multi before you become national...
Huwezi ku-compete na Big Guns kwenye saturated business, unless ugundue USP yako (Unique Selling Proposition) ambayo itakuset aside na wengine.
Kama kitu ni profitable na ni rahisi kukifanya kumbuka kila mtu atakifanya.., Hili kuwe na demand kubwa basi inabidi supply iwe ndogo, hivyo basi cha kufanya ni kama unaweza ukaja na product yako yoyote ambayo itakidhi haja za watu haijalishi ni product gani (basi your on to a winner)
Kwahiyo cha kufanya ni bora angalia niche products.. (badala ya kuuza kidogo kwa wengi uza vingi kwa wachache..)
Lakini kuhusu easiest na cheapest product katika ulimwengu wa internet ni (softwares na information) au kitu chochote ambacho unaweza ukakipackage kwenye electronic form.., iwe games, ebooks, apps e.t.c.., kwahiyo kama unaweza ukaja na kitu kama hicho utauza ulimwengu mzima kwa overheads ndogo sana.. (shipment ni minutes and at a cost of few mega bytes)
Kumbuka don't dry to re-invent the wheel na usipoteze nguvu ku-fight with the big guns, lakini if you want to be up there with the best create your own product