Jinsi ya kuwa multinational company na ku dominate soko la dunia

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,071
3,717
Jamani habari zenu wakuu...
Ni muda mrefu nimekuwa nikiwaza biashara ambayo inaweza ku dominate soko la dunia na kuwa na kampuni kubwa ambayo inaweza kudominate dunia na kushindanana brands za dunia sasa maswali yangu ni haya...

1) ni biashara ipi yaweza kusambaa ku dominate kirahisi??

2) ni sekta gani hapa inalipa kilimo, teknolojia, banking, au professional firm?

3) process gani nashauriwa nifuata ili after ten years uwe na kampuni ambayo ni multinational

maoni yenu,plans na ushauri wenu unahitajika wakuu katika hili.........
 
biashara rahisi dunia hii hakuna zaidi ya kuchimba mafuta kama unayo...
ukiweza hiyo haya...
 
You cant be multi before you become national...

Huwezi ku-compete na Big Guns kwenye saturated business, unless ugundue USP yako (Unique Selling Proposition) ambayo itakuset aside na wengine.

Kama kitu ni profitable na ni rahisi kukifanya kumbuka kila mtu atakifanya.., Hili kuwe na demand kubwa basi inabidi supply iwe ndogo, hivyo basi cha kufanya ni kama unaweza ukaja na product yako yoyote ambayo itakidhi haja za watu haijalishi ni product gani (basi your on to a winner)

Kwahiyo cha kufanya ni bora angalia niche products.. (badala ya kuuza kidogo kwa wengi uza vingi kwa wachache..)

Lakini kuhusu easiest na cheapest product katika ulimwengu wa internet ni (softwares na information) au kitu chochote ambacho unaweza ukakipackage kwenye electronic form.., iwe games, ebooks, apps e.t.c.., kwahiyo kama unaweza ukaja na kitu kama hicho utauza ulimwengu mzima kwa overheads ndogo sana.. (shipment ni minutes and at a cost of few mega bytes)

Kumbuka don't dry to re-invent the wheel na usipoteze nguvu ku-fight with the big guns, lakini if you want to be up there with the best create your own product
 
......check out this website ina majibu yako yote

Rolf Kipp - Prosperity Central Opportunity

Mkuu kama sijakosea hii ni network marketing..., kama ndivyo huyu Rolf Kipp ana nini cha ziada kuliko hizi ambazo zipo hapa tayari (forever et al)

Je ni products gani anazouza na bei yake ni vipi kulinganisha ni kipato cha watu wa kawaida (moja ya ugumu wa wauzaji wa Forever, GNLD, Tianshi n.k.) imekuwa ni bei kubwa kulinganisha na watu wa kawaida ambao mtu unataka kuwa-recruit...

Sisemi kwamba hii kitu ni kwamba haiwezekani lakini sio rahisi kama watu wanaotaka ujiunge wanavyosema (alafu hii kitu ingefaa sana kama watu wanajiunga sababu ya kununua products na sio kutajirika) sababu hii tendency ya kupata pesa tu hufanya watu wakishajiunga wasifanye kazi ya kuendelea kusajiri watu hence mtandao kuzolota..., na unakuta waliowahi mara nyingi ndio wanaopata na watu wa chini kazi inakuwa ngumu zaidi kufanyika...

Anyway its a learning curve na utakutana na watu wengi na kupata contacts.., ila its not for everyone (na hii kitu imeshapata negative publicity kutokana na watu kuingia na kutokufanikiwa) jambo ambalo watu wakisikia tu MLM wanakimbia hata kabla ya kusikiliza zaidi jambo ambalo nadhani hii biashara inabidi ingefocus kwenye products na sio kusajili watu
 
Unaonaje ukimodify idea ya babu wa loliondo? ur business will become national and multinational very fast, think about it!
 
The best way to go national and international is to buy a franchase it demands lots of capital and good business acumen such people like mufuruki has done it with wolworth and other internationals brands available in the market.capital is not only the key but marketing gimmicks is the eye opener for any product its through marketing we create consumer awereness and build brands.The disadvantage of starting business in Tanzania its a low end market which will take time to build your brand
 
Back
Top Bottom