Jinsi ya kuwa mama bora

Jinsi ya kuwa mama bora

Daima usitumie muda wako kuwaza jinsi ya kumridhisha binadamu, kama hauoni umuhimu wako leo basi huna haja ya kujihangaisha, nakushauri tumia hiki kitu kinachoitwa POWER OF LETTING GO.
 
Napendaga kua first yo reply lakin hii sijaiwahi,,,

We dada kwa yy ni mume bora?kama yy ni bora imetosha
 
Daima usitumie muda wako kuwaza jinsi ya kumridhisha binadamu, kama hauoni umuhimu wako leo basi huna haja ya kujihangaisha, nakushauri tumia hiki kitu kinachoitwa POWER OF LETTING GO.
Unaongea tu hujapenda
 
me mlokole Kama wewe ni mlokole kweli umeshindwa kufuata sifa za Mke bora ndani ya Biblia sidhani kama utazipata huku JF

Bora ufunge tu safari ya Mozambique
Mkuu labda kwangu labda limbwata nijifanyie mwenyewe nizidi kujipenda.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mmh! Nionavyo hakuna njia zaidi ya tabia zako / matendo yako binafsi kama ni mazuri ndio yatakayokufanya kuwa mama bora ikiwa ni mabovu usitegemee kuwa mama bora.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Piga goti ufunge na kuomba hakika bwana wa majeshi atakuonyesha njia
 
Back
Top Bottom