Jinsi ya kuwa mama bora

Jinsi ya kuwa mama bora

Nawezaje kumshawishi mume wangu ili anione mke bora
Hebu funguka.

1. Sasa hivi anakuona mke/mama bomu au wa ovyo?
2. Kwanini unataka uonekane bora machoni pa mumeo, kwani historia yako ikoje?
3. Je, umejitambua ya kwamba wewe sio mke/mama bora? Ikiwa jibu ni ndiyo vitu gani vimekufanya ujitambue?
4. ????
 
Be the real you, don't pretend to be a person you are not.
 
Mpaka alikuoa alikuona wewe ni bora,
Labda baada ya kuingia kwenye ndoa. Ukapunguza baadhi ya tabia ambazo ulikuwa nazo mwanzo, jaribu kujichunguza ni wapi unapokosea,mpaka akakushusha ubora. Kila la kheri
 
Back
Top Bottom