Nimejaribu kupost threads kwenye majukwaa mbalimbali lakini nimeshindwa. Sijui kwa nini wakati siku ya kwanza najiunga JF ilikuwa rahisi tu kupost ktk lile jukwaa la UTAMBULISHO.
Naomba kufahamu pengine kuna vigezo vya kuzingatia ili uweze kupost thread ktk jukwaa lolote.
UPDATES:
Nilikuwa najaribu pia (sikuwahi) kupost ktk jukwaa hili lakn nimeona imekubali. Kwa nini nashindwa ktk majukwaa mengine?
Mkuu Shombe la Kisomali mi mwenyewe huwa naogopa hata kucomment kweny lile jukwaa (huwa napita kimya kimya) maana......
Acha wenye Intelejensia zao wadumishe maana halisi ya lile jukwaa. Japo kuna wapuuzi huwa wanaliingilia lile jukwaa kwa kucomment upuuzi wao. Huwa natamani hata niwe Mod ktk lile jukwaa... Yaan wapuuz wote wasingetia mguu pale.