ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,142
- 17,638
- Thread starter
-
- #21
kiroboto21... snipa anavyokuambia uache siasa, na mimi ninavyohoji kama una technical know-how kuhusu hiyo mifano ya waliokamatwa, point ni hii: Hapa our arguments are logical. Simple.
Umetupa mfano abstract sana, halafu unasema unayo mingine mingi, lakini haijitoshelezi kuitumia kama hoja ya kusema kuwa huwezi ukajificha mtandaoni, na kwa vyovyote vile utakamatwa hasa na wazungu (nadhani ndicho unachomaanisha). Yani tayari hapa ni anecdotal na unwarranted assumption fallacies umefanya.
Ninavokuuliza kuhusu technical know-how, ni kwamba je, unaifahamu hiyo case vizuri kiasi cha kusema kuwa jamaa alijificha vyema na bado akashikwa? Unaweza ukaieleza kitaalam na kuweza kutushawishi wengine kwamba ni kweli alijificha vema na kwa hali ya kawaida asingeshikwa? Ukiielezea hiyo case, sisi hatutoweza ku point out makosa yake yaliyosababisha akashikwa? Kama jibu la swali lolote hapo ni hapana, ndio tunasema unaleta siasa.
snipa
Lakini Tor functions more than just spoofing the IP. Inaestablish connections na kutransfer requests in such a way that even ISP's au eavesdroppers can not understand your traffic kwa kuobserve the headers. It is absolutely safe as long as the other pieces of the puzzle i.e the OS, browser e.t.c are also secured and anonymized.
Kwa kutumia Tor una uhakika hakuna jinsi hata CIA au NSA can understand that communication. Ndio maana wenyewe wanaitumia kujificha wanapokuwa undercover au kwenye sting operations au whistleblowing refer to the link above.
Sasa hapo ndugu unenielewesha kabisa na nimekuelewa,kiukweli huyu jamaa kabla ya kupata kaz ubalozi tulikuwa tunaishi mtaa m1 na na nyumba moja yani tulikuwa tunaishi gorofa ya 5 yeye akiwa na logement yake nami nikiwa na logement yangu lakin baada ya kupata uyo mzungu ndo akapata kaz ubalozi ndugu lakin silijui kiundani sana lakin jamaa alikuwa msiri sana na hata katika izo deal zake mke wake alikuwa hajui,kaja tu kushangaa polisi wanaenda kwake na wanamtaka mme wake ndugu,so naweza sema jamaa alikuwa anafanya kisiri sana na ndo mana naamini hawa watu au serikali zilizoendelea zikiamua kakutafuta zitakupata tu,nafikili umenielewa ndugu na ahsante sana kwa kunielewesha
Wakuu, katika pitapita zangu niliamua kulitazama hili suala la kuwa anonymous hasa unapotumia internet.
Kuna sababu nyingi za mtu kutaka kuwa anonymous mtandaoni, mfano kujilinda na kutaka kujihakikishia kuwa hakuna atakayeweza kufuatilia mienendo yake binafsi. Hapa ninaongelea the right to privacy, au kutaka kujifunza tu. Na hicho ndicho kilichonisukuma mimi kushare nanyi jambo hili.
Kuwa anonymous mtandaoni kuna maana kubwa ya kuwa na identity ambayo haihusiani na wewe na hivyo mambo yote utakayofanya mtandaoni yasiweze kufuatiliwa na mtu yoyote au kuwa traced kwako. Hapa naongelea kutumia mtandao kama 'mtu' mwingine wa kufikirika, kwa njia salama zaidi.
Kwa maana hiyo, unakuwa na personalities mbili tofauti ambazo hazilandani kwa lolote na hazijuani kabisa. Moja ikiwa ni wewe hasa, huku ukiendelea na maisha yako na matumizi yako ya mtandao kama kawaida na nyingine ikiwa ni 'anonymous' - wa kufikirika, ambaye hayupo na hajulikani. Watu hawa wawili hawatakiwi kufanana au kushahibiana kwa lolote (mfano email, namba ya simu, mahala pa kuishi, tarehe ya kuzaliwa, JamiiForums ID) wala kuwa na mawasiliano ya aina yeyote....kila personality inatakiwa kuwa na characteristics zake kama mfano tajwa hapo juu. Hili ni muhimu sana.
Kitu kingine kwako utakayeamua kuwa na anonymous online identity: USIMWAMBIE MTU YOYOTE hiyo identity. Simple.
Maelezo yote yapo kwenye hii PDF document iliyo attached. Itakuelezea A to Z za hii concept. Good luck and take care!
ONYO: Hili ni somo tu. MATUMIZI YA HIYO ONLINE IDENTITY YAKO NI JUU YAKO. ZINGATIA SHERIA.
https://piwik.org/wp-content/uploads/2012/01/How-to-remain-anonymous-online.pdf
Karibuni kwa mjadala na maswali kuhusu hili.
Nilikuwa napitia hizi comment ili nijifunze kitu naona bado umekosea swali uliloulizwa haya na maswala ambayo ni very technical na lazima utoe technical explanation . Bado hapa umetoa maneno ya kusikia tu wadau wanataka useme huyo jamaa alikuwa anafanya nini na aliinsure vip anonymity na polisi wakatumia mbinu gan kumkamata. Sorry to saySasa hapo ndugu unenielewesha kabisa na nimekuelewa,kiukweli huyu jamaa kabla ya kupata kaz ubalozi tulikuwa tunaishi mtaa m1 na na nyumba moja yani tulikuwa tunaishi gorofa ya 5 yeye akiwa na logement yake nami nikiwa na logement yangu lakin baada ya kupata uyo mzungu ndo akapata kaz ubalozi ndugu lakin silijui kiundani sana lakin jamaa alikuwa msiri sana na hata katika izo deal zake mke wake alikuwa hajui,kaja tu kushangaa polisi wanaenda kwake na wanamtaka mme wake ndugu,so naweza sema jamaa alikuwa anafanya kisiri sana na ndo mana naamini hawa watu au serikali zilizoendelea zikiamua kakutafuta zitakupata tu,nafikili umenielewa ndugu na ahsante sana kwa kunielewesha
Richard, hiyo article ukiisoma mpaka mwisho inaelezea namba ya kutengeneza hii anonymous profile na the technical part ya kuwa anonymous kwa kutumia Tor na built-in browser yake, IP spoofing na mengine. Kwahiyo mengi kama sio yote uliyoyaainisha yanaelezwa kwenye hiyo article.
Richard, hiyo article ukiisoma mpaka mwisho inaelezea namba ya kutengeneza hii anonymous profile na the technical part ya kuwa anonymous kwa kutumia Tor na built-in browser yake, IP spoofing na mengine. Kwahiyo mengi kama sio yote uliyoyaainisha yanaelezwa kwenye hiyo article.
Kuna jina kipesa linatumika kwa wale wenye pesa na huwa wanatumia pesa hiyo ambayo ipo tu imekaa na haitumiki.
Wenyewe wanaita hii ni "disposable income".
Sasa unaweza kutengeneza anuani ya email inaitwa "disposable email", hii utaitumia kwa mawasiliano yote na labda JF, FB na Tweeter. Anuani hii ya email haina taarifa zozote binafsi hkuhusu wewe na si rahisi kutambua pale inapokuwa ikitumika.
Kwa sababu za kiusalama na kwa kulinda "integrity" ya wananchama wenzangu wa JF, sitaweza kwenda kiundani juu ya namna ya kutengeneza hii "disposable email ila kwa wadau wengine watakuwa wameelewa."
Pili, kama nilivyoleza kwenye sehemu ya kwanza, kuhusu "search engines" kama Yahoo, Google na Bing hizi zinatunza taarifa za udukuzi wako kila unapoufanya.
Hivyo kuna search ingines ambazo hazifanyi mambo haya ya kutunza taarifa za udukuzi na mfano wa "search engines" hizi ni moja inaitwa StartPage.
Tatu, ni kwa njia ya kutumia "Password Manager", yaani unatengeneza passwords ambazo ni ngumu kuzidukua lakini ni tofautitofauti. Kuna watu wanapenda kutumia password moja kwa kila akaunti anayotumia labda , Yahoo, Gmail na kadhalika, hii inaweza ku-compromise na "situation" yako ya taarifa binafsi.
Nne ni browser gani utumie.
Browser kama ya Windows ni rahisi sana ku-compromise na PC yako kuhusiana na taarifa zako binafsi, kwani imeweza kushindwa kabisa kuzuia hacking mbalimbali.
Hapa ndio kuna kaufundi kidogo kwamba ni namna gani unachagua browser ilo bora na namna ya kufanya ufungaji mzuri wa usalama wa kwenye PC kulinda taarifa binafsi hasa kama computer unayotumia umeinunua kwa baei mbaya.
Hivyo kuna browser, Traffic na kabla ya hiyo traffic kwenda kwenye Server kunatakiwa kufanyike Encryption (kuzuia mtu asisome) ya taarifa zako ama kwenye email au ujumbe mfupi.
Kuna Server za aina mbili ya kawaida na ile iitwayo "Proxy", server ya kawaida inapokea request ya browser ya PC yako kuhusu mtandao unaotaka kuperuzi na kufanya mawasiliano hayo kikawaida tu bila kujificha.
Proxy Server imetengenezwa kukusanya na kasha kutuma traffic ya internet, yaani inamruhusu mtumiaji kuconnect lakini server hii ndio itakayodukua kurasa za internet kwa niaba ya PC yako na kukuletea wewe kwenye PC yako.
Kwa njia hii kwa kiasi Fulani utaweza kuficha taarifa za PC yako zisionekane kwa ile website uliulizia taarifa za habari.
Mwisho kuna VPN yaani "Vertual Private Network", hii ni njia kama ndani ya bomba lakini bomba hilo limo kwenye mtandao wa internet. Sasa PC yako inakuwa ndani ya bomba ikivinjari internet, hasa kwa mashirika ya kimataifa au makampuni makubwa wanatumia njia hii.
Hivyo basi mwisho wa siku una wajibu wa kuchagua ni njia ipi unaiamini kwenda mtandaoni ukiwa anonymous kati ya njia ya Proxy server au VPN.
Proxy server zipo za bure na za kulipia kama vile Word Press na wengine na zipo ambazo ni open na zile za closed.
VPN pia zipo na ni makampuni makubwa tu ndio yenye uwezo wa kumudu gharama zake na pia kama serikali ikizitaka kampuni hizo ziwape taarifa ya mtumiaji ambae amejificha humo huwa zinakuwa hazina budi kufanya hivyo.
I'll be back bro to to erase those politics above your post.
Mkuu kumbuka hapa tunaongelea Anonymity Online...
Na iwapo case yako ni ya kuvuruga Amani ya dunia hapo ndo kutakuwepo ushirikiano kati ya anonymity tools unazotumia na nchi yako...tofauti na hapo ni Vigumu mkubwa
Unavyofikiri watu wanao hack kwenye Companies kubwa wanatumia njia gani wasiwe traced tena wengine ujaribu kuingilia mpaka taasisi za serikali zao?
Mfano,Angalia ile video ilokua ikisambaa whatsaap ya wale jamaa walovamia Jeshi la police na kuwanyanganya silaha...Ile naweza chukua ni kama Terrorism lakini TCRA na Jeshi la polisi wameshindwa kushirikiana kujua source ya video ni kutoka kwa nani?May be because njia walotumia i.e Whatsaap ipo secure
Hivo mm na imani kama hao jamaa wameshindwa kujulikana kwa njia hii,hivo hivo sitegemei eti mtu aandike kitu dhidi ya Mafisadi mtandaoni afu atafutwe akamatwe...Kuna challenge kubwa sana.Ila unasitizwa kutumia hizo njia ya kuwa anonymous kwa usalama wako
Kaka hakuna kujificha kwenye mtandao kama umefanya madhara kwenye jamii labda kujificha kwa watumia JF hasa kwa waafrica masikini TOR wala VPN very easy to be traced. Kuhusu hao walioweka video ya kigaidi nimeambiwa hawapo tena. Ushauri wangu tutumie mitandao kwa faida ya wore.