jinsi ya kuuza mazao kariakoo

jinsi ya kuuza mazao kariakoo

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
11,126
Reaction score
14,629
asalm alekhum waungwana ! mimi ni mkulima wa tangawizi kigoma ,nilikuwa naomba msaada wa mchakato wa kuuza tangawizi zangu kama 20 tons hivi ,kiusalama maana naogopa kutapeliwa na wahuni ,pia kama unaijua bei
 
Back
Top Bottom