Natumia cmu aina lg GX500 ila nashindwa kutumia program ya wifi, msaada kwa anaefaham anielekeze.
Wi-fi ya kwenye simu inakusaidia kupata connection ya internet bila kupitia kwa kampuni yako ya simu (i.e Sim card) kwenye maeneo yenye internet hotspot. Ila connections hizo huwa zimefungwa kwa password ili asiyehusika asipate connection ya bure kwa gharama za mtu mwingine. Kwenye nchi zilizoendelea, kuna shemu hizo ambazo unaweza kupata internet connection za bure (kama maktaba, uwanja wa ndege) kupitia wi-fi.
Matumizi mengine ya wifi ya kwenye simu ni kuweza kuigeuza simu yako kuwa hotspot kwa kuweka program maalumu (mfano Joikuspot ) hivyo kuweza ku kupata internet kwenye computer/laptop yako yenye wi-fi kupitia simu yako bila haja ya kuunga waya. Kuna uwezekano wa kuwa na watumizi zaidi ya mmoja kwa kutumia hiyo simu moja tu. Ila simu yako ni 2G kwa hiyo speed ya connection yako haitakuwa kubwa. Mie hutumia hii software kwa kupata instant internet connection kwenye laptop kupitia simu ya Nokia. popote nitakapokuwepo ambapo kuna mtandao wa simu.