Jinsi ya kutumia WEBMAIL

Jinsi ya kutumia WEBMAIL

Hi to you all

Wakuu hivi kama una email e.g info@njunwa.com unaitumia vipi kujibu email na kusoma email

Natanguliza shukrani

Unapokuwa na yourdomain.tld kwenye control panel Ya webhosting utapewa option ya kucreate email acc. Kama unatumia cPanel inakuwa rahisi zaidi basi uki create akaunti zako kutakuwa na script za webmail katika hiyo web host wako ambapo unaweza login mfano ni horde, sqiluirrelmail na zinginezo

Ngoja nikupe mfano...
url: http://joenyandigira.com/webmail
Utaweka username na password kisha itakudirect kwenye mail yako


Pia unaweza kutumia google apps. Kutengeneza custom mail yako unalogin kwa kwa kupitia gmail

Pia njia nyingine ni desktop mail clients kama mozilla thunderbird au windows live mail
 
Unapokuwa na yourdomain.tld kwenye control panel Ya webhosting utapewa option ya kucreate email acc. Kama unatumia cPanel inakuwa rahisi zaidi basi uki create akaunti zako kutakuwa na script za webmail katika hiyo web host wako ambapo unaweza login mfano ni horde, sqiluirrelmail na zinginezo

Ngoja nikupe mfano...
url: cPanel Redirect
Utaweka username na password kisha itakudirect kwenye mail yako


Pia unaweza kutumia google apps. Kutengeneza custom mail yako unalogin kwa kwa kupitia gmail

Pia njia nyingine ni desktop mail clients kama mozilla thunderbird au windows live mail

asant kaka nimefanikiwa
Nime type url nikaingia Horde
Thanks
 
njunwa wamavoko nakushauri ufanye configuration na google apps kama alivyosema Joe Nyandigira hapo utaweza kulink na mail server za google na kupata huduma karibu zote za google mail

mfano mimi nna email yangu ambayo ni nyasiro AT nyasiro DOT com na nna faidi kama hivi:

googleappsMAIL.PNG
 
Last edited by a moderator:
njunwa wamavoko nakushauri ufanye configuration na google apps kama alivyosema Joe Nyandigira hapo utaweza kulink na mail server za google na kupata huduma karibu zote za google mail

mfano mimi nna email yangu ambayo ni nyasiro AT nyasiro DOT com na nna faidi kama hivi:

View attachment 144074

Mkuu naomba Link sehemu ya kulink hii makitu maana nime google naona ni 30days trial au ndo ya kulipia?
 
Back
Top Bottom