Jinsi ya kutumia Telegram

Jinsi ya kutumia Telegram

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
965
Nimejiunga Telegram nashindwa jinsi ya kuitumia, naomba maelekezo. Nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali naambiwa ingia Telegram utapata, lakini niingie sizipati.

Nipeni maelekezo on how to use Telegram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namimi nasubiri elimu nimejiunga juzi
 
Karibu Telegram.
Mwaka wa 5 natumia hii app.
Matumizi yake ni kama ilivyo whatsapp
Ila hii ina vitu vya ziada
1.Ni end to end encryptation
2.Ina cloud storage sms zangu za tangu 2015 bado ninazo
3.Ina group na channel unaweza kuwa na members zaidi ya 10000
3.Unaweza hide phone no
4.Ina search engine kwa ajili ya kusearch group na channel
5.Wanaruhusu kutunia API yao
6.Mengine nitaingeza au wataongeza
 
Ukijiunga group/channel unaona message zote zilizotumwa tangu kuumbwa kwa group

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu Telegram.
Mwaka wa 5 natumia hii app.
Matumizi yake ni kama ilivyo whatsapp
Ila hii ina vitu vya ziada
1.Ni end to end encryptation
2.Ina cloud storage sms zangu za tangu 2015 bado ninazo
3.Ina group na channel unaweza kuwa na members zaidi ya 10000
3.Unaweza hide phone no
4.Ina search engine kwa ajili ya kusearch group na channel
5.Wanaruhusu kutunia API yao
6.Mengine nitaingeza au wataongeza
Naomba unifahamishe point #4, how does it work?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple sana nenda kweny search apo Anza kutafuta vitu ambavyo uko interested mfano movie series books documentary au porn 🤣nk simple like that

ENJOY
 
Karibu Telegram.
Mwaka wa 5 natumia hii app.
Matumizi yake ni kama ilivyo whatsapp
Ila hii ina vitu vya ziada
1.Ni end to end encryptation
2.Ina cloud storage sms zangu za tangu 2015 bado ninazo
3.Ina group na channel unaweza kuwa na members zaidi ya 10000
3.Unaweza hide phone no
4.Ina search engine kwa ajili ya kusearch group na channel
5.Wanaruhusu kutunia API yao
6.Mengine nitaingeza au wataongeza
Namba 5 hapo maelezo zaidi please.
 
Back
Top Bottom