jinsi ya kutumia nokia pc suite katika compyuta

jinsi ya kutumia nokia pc suite katika compyuta

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
113
jaman wanajamvi, nawaombeni mnisaidie hili suala maana limekuwa gumu kwangu. Mimi nataka kuunganisha nokia asha 300 katika compyuta ili nitumie kama modem na inagoma, ina niandikia failed to connect to the network! the modem may be used by another application or the modem may not be configured properly... Sasa kila nikibadili configuration bado inazingua tu, natumia voda,
asante nawasilisha
 
Jaribu kutumia port tofautitofauti za usb katika pc, au jaribu kwa Bluetooth.
 
kwa bluetooth siwez ninayo desktop

Unaperuzi cm yako vizuri ukikonect? Ngoja waje wenye maujuzi zaidi. Mi natumia modem voda(haijachakachuliwa) nimeweka line ya tigo, ila kwenye menu ya Nokia pc suite hawana option ya tigo TZ, natumia tigo Ghana inakubali.
 
kaka ukitafsiri kiswahili tu hio message unapata jibu hapo hapo.

modem may be used by another application.
kumbuka umeshawahi kuitumia simu yako kwa internet na app nyengine? kama dial up connection au third party app kama mobogenie. kama tayari zifunge kwanza hizo application halafu tumia simu yako kwa pc suite. control alt na delete ndo itayokuingiza task manager kuclose hizo app.

modem may not be configured propely
kuna baadhi ya pc suite unaweza eka configuration na kuset apn ambayo siku zote ni internet.

kama tatizo linaendelea bado download nokia suite ambayo ndio latest. inawezekana uzamani wa pc suite ukachangia pia hilo
 
iyo dial up nazifungaje sasa, maana zipo katika compyuta ila pakuzifunga sipaon
 
hapana cjawah zitumia, yan ndo kwanza ndo nimenunua simu hii sasa
 
Back
Top Bottom