jinsi ya kutumia modem kwenye computer za apple i.e macbook pro

shyja

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
410
Reaction score
67
habari zenu wapendwa. Naomba msaada kwa hili, natumia laptop ya apple aina ya macbook pro ambayo inaoperate Mac OS X 10.8 ambayo ndo miongoni mwa latest operating system za apple. Tatizo ni kwamba napotaka kutumia internet inabidi nitumie cable au bluetooth kutoka kwenye simu ambayo inakuwa kama modem. Nikichomeka modem inashindwa ku detect na kufanya installation kama ilivyo kwa windows. Je nifanyeje ili i function?
 
Kwa kawaida hiyo modem, kama ni ya Airtel au Voda, inakuwa kama hard drive. Unachotakiwa kufanya ni kuifungua na kupata software za Mac. Unafanya install kisha unaweza kuelekezwa ku-reboot. Fanya hivyo.
 
unatumia modem ya mtandao gani? kama ni voda kiukweli haitokubali nilikua na tatizo hilo hilo...Airtel ipo poa, ndio ninayoitumia kwenye mac os x 10.8.
 
kwanini Ikatae??? hzo Ni solution Za Kusadikika
 
tatizo ni kwamba, ukichomeka modem haionekan wakat mwngne inasema ngoja isachi software ya kufungulia kwenye apple store.
 
kwanini Ikatae??? hzo Ni solution Za Kusadikika

poa kaka, ngja nijaribu kutumia hyo ya airtel tena. Coz kabla ya os x 10.8 nishawah kutumia os x 10.4 ikagoma. Nilipopata 10.8 nikanunua ttcl modem.
 
unatumia modem ya mtandao gani? kama ni voda kiukweli haitokubali nilikua na tatizo hilo hilo...Airtel ipo poa, ndio ninayoitumia kwenye mac os x 10.8.

poa kaka, ngja nijaribu
kutumia hyo ya airtel
tena. Coz kabla ya os x
10.8 nishawah kutumia
os x 10.4 ikagoma.
Nilipopata 10.8
nikanunua ttcl modem.
 
Usually modem inakuwa mounted Kama CD drive in most Unix-like OS, ikiwa mounted fungua and run package unayoikuta, it contains drivers na software. Installation ikikamilika, ukiplug tena inaweza kumount Kama CD tena Ila ukifungua software iliyokuwa installed for that modem inafanya kazi or in other cases inakuwa detected automatically, natumia 10.8 na nimetumia modem from all providers bila shida.
 
unatumia modem ya mtandao gani? kama ni voda kiukweli haitokubali nilikua na tatizo hilo hilo...Airtel ipo poa, ndio ninayoitumia kwenye mac os x 10.8.

Labda uwe begginer wa computer za Mac, modem zote za ZTE na Huawei ambazo ndizo hutumiwa sana na mitandao TZ zina software ya kuinstall kwenye OS X ya apple. Haijalishi ni ipi. Kama imegoma kabisa tafuta software ya hiyo modem kwa OS X. Mimi sijawahi tumia personal computer binafsi zaidi ya Macbook Pro. Ilishawahi nisumbua ile ya 10.3 na 10.4, ila nikapakua software zake kupitia Vodafone UK. Kwa sasa natumia Modem ya Vodacom nadhani 3565-k kwenye Os X10.8 bila shida.
 
poa kaka. Ila nilianzaga kutumia mac kwenye iBook iliyokuwa ina classic environment ya mac os 9.1 pamoja na version ya kwnz ya os x ambayo ni os x 10.0, sio siri vilikuwa vinaboa na nikachukia macs. Saiv nkasikia wameimprove ndo nmerud tena. Ngja nifanye hayo maelekezo kaka then ntakupa majibu. Ahsante.
 
sijui, lakini hizo modem za voda hata ukiconnect kwenye windows ukaifungua unakuta hamna installation folder for mac.

kungekuwa kuna instalation za apple ingesoma kwny mac. Kuna modem flan ya airtel ktk instruction wameandika inasuport mac kuanzia os x 10.5 (leopard) na kuendelea lakn cha ajab haikufanya kaz.
 
jaribu tena but this time ukishaconnect modem kwenye mac yako iache for atleast 5-10 min huenda ikakubali.
 
Back
Top Bottom