Siku zote modem hazijatengezwa katika kiwango chake cha "kudownload data" pamoja na ku "upload data". Baadhi ya Internet service providers( ISP) hubadilisha firmware za hizo modem,hivyo ipo haja ya kutafuta njia mbadala ya kuirejesha modem yako katika kiwango chake cha kudownload data kama ilivyokuwa imetengenezwa na "Manufactures".
Makampuni ya simu yaliyo mengi yanatumia mfumo huu wa auto diconnection kwa kutumia kifaa kiitwacho SIM Toolkit application ambacho kipo ndani ya SIM( Subscriber Identity Module) card yako.Hiki ndicho kinabeba kila aina ya mawasilliano kati yako na ISP
NINI CHA KUFANYA?
NJIA MBADALA NI KUTUMI HII SOFTWARE AMBAYO IN UWEZO WA KUFANYA KAZI TATU
1.KUKUZUIA ISP WASIKU DISCONNECT
2. KUONGEZA SPEED YA MODEM YAKO
3 KUONGEZA UWEZO WA COMPUTER YAKO KUTUMA NA KUPOKEA DATA
HII SOFTWARE NIMEAMUA KUITOA BURE KABISA. KWA MAELEZO ZAIDI JINSI YA KUI DOWNLOD BURE,BOFYA HAPO CHINI.
<<FREE INTERNET>>
ZANGATIA YAFUATAYO
1.NUNA LINE 2 ZA AIRTEL
2.SAA SITA USIKU,WEKA LINE MOJA KWENYE MODEM HALAF PING
3 IKIFIKA SAA KUMI NA MOJA,BADILI HIYO LINE.WEKA ILE NYINGINE HALAFU PING TENA
4.NAKUHAKIKISHIA KUWA HUTAKUWA DISCONNECTED KWA SIKU NZIMA
ANGALIZO:
USIIZIME WALA KUICHOMOA MODEM YAKO.KAMA UTAZINGATIA HAYO.SURE,UTATUMIA NET BURE.
KAMA MIMI MUONGO,KABLA HUJANI LAUM SANA,JARIBU KWANZA.
>>>> KAMA HAUAMIN ITS OK