- Thread starter
- #21
kwa hiyo jamaa dude au?
hapana!!!!!!
Zangatia yafuatayo
1.nuna line 2 za airtel
2.saa sita usiku,weka line moja kwenye modem halaf ping
3 ikifika saa kumi na moja,badili hiyo line.weka ile nyingine halafu ping tena
4.nakuhakikishia kuwa hutakuwa disconnected kwa siku nzima
angalizo:
Usiizime wala kuichomoa modem yako.kama utazingatia hayo.sure,utatumia net bure.
Kama mimi muongo,kabla hujani laum sana,jaribu kwanza.
>>>> kama hauamin its ok