na mimi msinisahau kwenye huo ufalme wenuKama ulitumiwa PM nicheki na mm mkuu.
Naomba elimu jinsi ya kutumia hii ha tunnel mana me nili install ikawa inafanya kazi lkn jinsi ya kutumia ni lazima niwashe data, bandle likiisha nayo haifanyi kazi, nieleweshe hapa tafadhali.M natumis dimu aina redmi hi ha tunnel iligoma kabisa kuunganishwa lakini nilimuunganishia mke wangu kwenye oppo nimwendo wa kutereza
Aiseee.Naomba elimu jinsi ya kutumia hii ha tunnel mana me nili install ikawa inafanya kazi lkn jinsi ya kutumia ni lazima niwashe data, bandle likiisha nayo haifanyi kazi, nieleweshe hapa tafadhali.
Kama walikupa mautundu naomba shule pm ,,, natumia halotel,,,, kupakua movie bando zinatembea balaaMsaada wa kutumia internet free natumia halotel na voda
Anae jua aje pm
Slow DNSSijawai weka bando wiki mbili sasaView attachment 2778772
Ongezea hapaAIRTEL
Ha Tunnel
Spark vpn
HTTP CUSTOM
KOBRA DNS
SSH INJECTOR
OPEN TUNNEL
lazima uwe na hat file
Ila MB 300 DAILY FREE
KWA TIGO NA TTCL
WIRE TUNE
KWA HALOTEL
PSIPHON
Mtandao ganii huo mkuuSijawai weka bando wiki mbili sasaView attachment 2778772
Ya TTCL nayo imefungiwaOngezea hapa
TTCL
NasperVpn
Na hilo la Halotel limefungwa(halipo kwa sasa)
VPN ni hatari kwasababu zinauwa betri mapema .....uamuzi ni wako
Hii ya tigoM
Mtandao ganii huo mkuu