Jinsi ya kutumia Command Line Interface

fredericko

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
2,396
2,000
Habari wataalamu
Natumia windows desktop
Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface)
Na pia jinsi ya ku disable GUI
(Graphical User Interface)
Maana lengo langu ni kutumia CLI peke yake.
Natanguliza Shukrani.
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,607

Tafuta window server 2016 au 2019 ndo inafanya hizo mambo, kuna option ambazo zItakusaidia kuchagua either CLI or GUI based utakapokuwa unainstall. Nafikiri option nyingine ni ubunitu au linux.

Mambo mengine utakuwa una google mbele kwa mbele kwenye kisimu chako cha mchina(natania).
 
the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,458
2,000
Habari wataalamu
Natumia windows desktop
Windows Ten pro. Sasa naomba mnielekeze namna ya kutumia au ku enable CLI (Command Line Interface)
Na pia jinsi ya ku disable GUI
(Graphical User Interface)
Maana lengo langu ni kutumia CLI peke yake.
Natanguliza Shukrani.
Unataka kufanya nini kwenye CLI wakati GUI ipo ?
 
Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
520
1,000
dha vijana mnasikitisha sana, mtu unataka kutumia CLI wakati hata ku activate huwezi. au unataka utumia hiyo sijui CLI uionekane hacker uwatisie wana. kijana window in command line zaidi ya 250. baaada ya wiki utarudi hapa kutuambia unataka uridishe GUI
 
the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,458
2,000
Wengine umaarufu kuwa anaweza zote,ingawa kuna baadhi ya makampuni makubwa bado wanatumia CLI hii ni katika kumalizia mikazi ya zamani ambayo ndio inafikia ukingoni...
mhhh mkuu for real even windows server you need GUI than CLI maybe linux CLI ningekiuunga mkono coz windows imetengenezwa special for easy of use its users
 
fredericko

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
2,396
2,000
dha vijana mnasikitisha sana, mtu unataka kutumia CLI wakati hata ku activate huwezi. au unataka utumia hiyo sijui CLI uionekane hacker uwatisie wana. kijana window in command line zaidi ya 250. baaada ya wiki utarudi hapa kutuambia unataka uridishe GUI
Hakuna kitu ambacho siwezi ku activate mkuu.
Nataka
Nitumie CLI ili niwe familiar nayo najipanga kuanza kutumia kali Linux very soon
 
mwitaus

Member
Jan 18, 2011
62
125
Kwa nini usianze kutumia hiyo Kali Linux maana command za windows na linux nitofauti kabisa ni usiku na mchana
 
mwitaus

Member
Jan 18, 2011
62
125
Na pia unaweza kurun linux command ndani ya windows 10 hakikisha una toleo jipya la windows 10
 
fredericko

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
2,396
2,000
Na pia unaweza kurun linux command ndani ya windows 10 hakikisha una toleo jipya la windows 10
Na nikishafanya hivyo nitakuwa na install apps au softwares za window au za Linux??
Namaanisha zile software ambazo ni specific kwa OS fulani tu..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom