Jinsi ya kutuma SOS message ukiwa katika hali ya hatari

Jinsi ya kutuma SOS message ukiwa katika hali ya hatari

Daah kwahiyo mi nikitekwa hakuna namna ? Basi inatakiwa muongeze ujuzi ili kila mwenye sim aweze kutumia hiyo kitu kwa ajili ya usalaama wake
Hao wasiojulikana naona hawateki wenye kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu Kwa uzoefu,kama upo kinyume nao taadhari ni muhimu,unaweza kujilinda Kwa kutumia vitu kama live camera mfano miwani,kalamu,Kofia,nguo,nk zenye 3D camera zilizocennectiwa na internet,simu yako ikisoma code na location, pia unakuwa na code maalumu za kuzimia simu,ikizimwa kinyume uchukua Picha ya mtekaji wakati anaizima na kusend SOS Kwa watu wa karibu.Ikirushwa tu picha kwenye mitandao ya mtekaji ni rahisi kupata feedback maana hakuna MTU asie na wa kumfahamu.
 
Ila tecnonologia ya sim imekua sana kiasi cha kuwazia ninini kitauata kwenye simu baada ya miaka kumi, lakini hongera na pongezi kwako mleta mada.
 
Ndio njia aliyotumia yule dogo alitekwa nini, ikabidi wampotezee, kwa kuja na story mara tulimuona kwenye basi mara kajiteka.
Maana walishaona last msg sent, wakajua tayari deal imeshabumbulika
 
Ndio njia aliyotumia yule dogo alitekwa nini, ikabidi wampotezee, kwa kuja na story mara tulimuona kwenye basi mara kajiteka.
Maana walishaona last msg sent, wakajua tayari deal imeshabumbulika
Maybe yes
 
Back
Top Bottom