Jinsi ya kutuma SOS message ukiwa katika hali ya hatari

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Naandika Huu uzi sababu Tanzania sasa hivi Tunaishi kimashaka mashaka.

Leo nataka kuwafahamisha Watumiaji wa simu kuwa wanaweza tumia simu zao katika hali ya hatari kuwasaidia kuwajulisha ndugu au jamaa zao.

SOS maana yake ni "Save our Soul".
Hi ni function iliyowezeshwa kwenye simu za Samsung kuanzia S5 nakuendelea.

Pia iphone ina hii function though somehow complicated.

Ukiwa na Samsung kuanzia s5 hadi s9, utakuta option ya kuset SOS messages under advanced features.

Ukiwezesha hii function, utaweza kuwatumia watu wako wa karibu message kuwajulisha kuwa upo katika hali ya hatari na unaomba msaada.

Kutuma SOS message ni kiac cha kubonyesa Power key mara Tatu kwa haraka na message itatumwa.

Waweza pia kuwezesha kutuma picha, GPs location na kurecord audio ambazo zinatumwa kwenye number za watu wako wa karibu baada ya kubonyeza power key mara tatu.
Mfano. Kwa watumiaji wa Galaxy S8, Oreo.
 
Attachments

  • Screenshot_20180308-205911_Settings.jpg
    Screenshot_20180308-205911_Settings.jpg
    18.2 KB · Views: 60
  • Screenshot_20180308-210604_Safety%20assistance.jpg
    Screenshot_20180308-210604_Safety%20assistance.jpg
    18.7 KB · Views: 57
  • Screenshot_20180308-210718_Safety%20assistance.jpg
    Screenshot_20180308-210718_Safety%20assistance.jpg
    19.2 KB · Views: 54
Naandika Huu uzi sababu Tanzania sasa hivi Tunaishi kimashaka mashaka.

Leo nataka kuwafahamisha Watumiaji wa simu kuwa wanaweza tumia simu zao katika hali ya hatari kuwasaidia kuwajulisha ndugu au jamaa zao.

SOS maana yake ni "Save our Soul".
Hi ni function iliyowezeshwa kwenye simu za Samsung kuanzia S5 nakuendelea.

Cjawa na uhakika kwa simu nyingine.

Ukiwa na Samsung kuanzia s5 hadi s9, utakuta option ya kuset SOS messages under advanced features.

Ukiwezesha hii function, utaweza kuwatumia watu wako wa karibu message kuwajulisha kuwa upo katika hali ya hatari na unaomba msaada.

Kutuma SOS message ni kiac cha kubonyesa Powe key mara Tatu kwa haraka na message itatumwa.

Waweza pia kuwezesha kutuma picha, GPs location na kurecord audio ambazo zinatumwa kwenye number za watu wako wa karibu baada ya kubonyeza power key mara tatu.
Mfano. Kwa watumiaji wa Galaxy S8, Oreo.
Kumbe hizo simu sio kwa ajili ya kusoma desa la mama tukinao tu
 
Hii inafaa hata kama simu ya Nondo haina SIM card?
 
Naandika Huu uzi sababu Tanzania sasa hivi Tunaishi kimashaka mashaka.

Leo nataka kuwafahamisha Watumiaji wa simu kuwa wanaweza tumia simu zao katika hali ya hatari kuwasaidia kuwajulisha ndugu au jamaa zao.

SOS maana yake ni "Save our Soul".
Hi ni function iliyowezeshwa kwenye simu za Samsung kuanzia S5 nakuendelea.

Pia iphone ina hii function though somehow complicated.

Ukiwa na Samsung kuanzia s5 hadi s9, utakuta option ya kuset SOS messages under advanced features.

Ukiwezesha hii function, utaweza kuwatumia watu wako wa karibu message kuwajulisha kuwa upo katika hali ya hatari na unaomba msaada.

Kutuma SOS message ni kiac cha kubonyesa Powe key mara Tatu kwa haraka na message itatumwa.

Waweza pia kuwezesha kutuma picha, GPs location na kurecord audio ambazo zinatumwa kwenye number za watu wako wa karibu baada ya kubonyeza power key mara tatu.
Mfano. Kwa watumiaji wa Galaxy S8, Oreo.
sasa mbona unatoa siri kwa watekaji? Cha kwanza ni kunyang'anywa simu fasta kabla hujaanza kubofya
 
Mimi nimebonyesaa weee mpaka sim kaingia loki
 
Back
Top Bottom