golden heart
Member
- Jan 5, 2014
- 13
- 1
unachotakiwa ni kuandika barua inayoenda kwa mkuu wa wilaya yenye anuani yako ya mkuu wa wilaya k.k kupitia kwa mamlaka ya kijiji igongwe muhuli wa mwenyekiti uambatanishe na vivuli vya vyeti vyako cheti cha kuzaliwa cheti cha matokeo ya mwisho na cheti cha usibitisho wa kumalizia elimu ya sekondari reving certificate.kisha uipeleke kwa mshauli wa mgambo.nafikili umenipata kama una swali uliza