Jinsi ya kutrack simu iliyoibiwa

Fibanochi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
476
Reaction score
1,029
Wakuu, habari za weekend!
Hv kuna mtu anajua app au web yyt ambayo mtu anaweza kuitumia ili kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia imei number?
 
kama unatumia takataka nyingine zaidi ya iphone (kuanzia 4)

wala usisumbuke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…