Jinsi ya kutongoza

natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda. ni PM
 
Mmmh... Mi naamini kila mtu ana namna yake ya kutongoza... Hakuna formula ya kutongoza bana...!

ni kweli kutongoza hakuna formula ndo maana hata bubu anapata mke, ana namna yake ya kutongoza bana
 
Nilichogundua ni kuwa kizazi hichi cha dot.com nicha watu wavivu sana hasa wakufikiri,wanapenda kurahisishiwa kila kitu(spoon feeding),vijana hawataki kushughulisha vichwa vyao,wamekua ni watu waku-google kila kitu,kwa mtindo huu sijui kama tutafika,hadi kutongoza imekua ni jambo la kuibua mjadala na kuchangia mawazo?so sad kwa hichi kizazi.
 
Dah! Hiyo formula labda kwa watoto kwasababu mambo ya kushikana mabega tena unaweza ukaitiwa mwz kama kuna population ya wa2

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nikipiga tu ''Pipooozzz, akiitikia Pawaaaaaaa..... kwisha. Mchakato unakuwa rahisi na kiharakati zaidi, hamna vibomu bomu. mutatis mutandis, hamna cha bega wala nini! lol
 
Unamsalimia halafi unamuuliza...tuko wangapi!!! Hapo humkosi....
 
.. Siku hizi mbona hakuna kutongoza, uwe na fedha wenyewe wanakuja...!!

Tena wanakuuliza unataka takaje...!? sema baba, eehh..!!
unatumia nn..!!?

.. Lol..!
 
Haya maswala hayana kanuni maalum.
Kila mtoto na koja lake.
Kila shetani na Mbuyu wake.
Akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
nimefanya kama ulivyoelekeza,lakini anasema nime copy na ku paste!
 
No formula brother hapo kila mtu na ufundi aliozaliwa nao!
 

Aisee....Lara 1 ktk ubora wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…