maambo hayo!!!Huyo huyo mwenye uhusiano natongoza nahamishia kwangu.....
ndio manake unanisumbua! kumbe!Huyo huyo mwenye uhusiano natongoza nahamishia kwangu.....
Kisa cha kuumiza moyo wangu ni nini? Nikimtaka mwanaume sitazuia hisia zangu. Never!Ukimtongoza mwanaume hawezi kukuheshimu Hata kidogo they are wired kutongoza..msijarib kutongoza wadada ni fedheha ni kama kumchangia mwanaume mahali yako mwenyewe
DUSHELELE LILILONONA NDIO MPANGO! MENGINE HEKAYA ZA ABUNUAS!Nini definition yako ya uzuri kwa mwanaume? Je ni sura, misuli, kifua kipana kilichojaa vinyweleo, pochi iliyoshiba au?
pengine yy ni chakula! buabua! pun.ga!Jamaa kandika thread nyingine kuwa yeye ni mwanaume anaitwa chris mkuu nakusihi usiende whatsapp utapoteza mda wako bure huyu jamaa ni mburula tu
unasema kweli? punguza masihara bana!Kisa cha kuumiza moyo wangu ni nini? Nikimtaka mwanaume sitazuia hisia zangu. Never!
Hakuna masihara kwenye hiliunasema kweli? punguza masihara bana!
mbona mi sijaona?Hakuna masihara kwenye hili
Masihara yaweza kuwa kwenye mambo mengine yoooote ila siyo hili! Eti?Hakuna masihara kwenye hili
nionyeshe japo kidogo?Hakuna masihara kwenye hili
mbona mi sijaona?
Naanzaje kukutongoza sasaUshindwe mwenyewe kunitongoza sasa!
Mbinu zimeshatolewa na mtoa mada dear!Naanzaje kukutongoza sasa
Kasemaje?Mbinu zimeshatolewa na mtoa mada dear!
Hutazuia directly au indirectly?Kisa cha kuumiza moyo wangu ni nini? Nikimtaka mwanaume sitazuia hisia zangu. Never!
Ha haaa money is not everything smtmsJinsi ya kumtongoza Mwanamke
1.Mpe hela
2.Mpe helaa
3.Mpe helaaa
4.Mpe helaaaa
5. Mpe helaaaaaaaaaaa!!!
Ukitmiza hayo 100% ni wako, hachomokiii....