Jinsi ya kutongoza Mwanaume

Nakubaliana na wewe, kwa ujenzi wa aina hii nyumba zingine imara kweli.
 
Mleta mada umefanya tafiti? Pamoja na kwamba wewe ni mwanamke, unajua mnayopitia ktk kumtongoza mwanaume, je umefanya uchunguzi kuwa nasi wanaume tunapenda mnavyokuwa mnajibaraguza ktk huo mchakato uliousema hapo juu??
Binafsi napenda mwanamke jasiri, siku chache tu awe ameshanipa signals za kutosha kuwa ananipenda!
Sio mara JUST A FRIEND, mara nani sijui! aaaaaagggggrrrrrhhhhh!
 
https://www.jamiiforums.com/index.p...iv unaitoa hata kabla hujaombwa......makyu ww..
 
unaanika namba ya nn? si ulisema hutaki kugawa namba?
 
Super human una kumbukumbu kweli safii umembaini mpige na doctrine of estoppel..
 
Wewe si kuna thread hapa umetulaumu tunaomba namba sana, na ukasema hutatoa namba abadani. Sasa inakuwaje umeiweka hapo bila kuombwa?????
 
Ulisema hutaki kutoa number ya simu pm. I wonder now ipo hadharani ( vizuri). Ila wanaume wazuri wote wapo kwenye mahusiano( kwa mtazamo wangu)
Nini definition yako ya uzuri kwa mwanaume? Je ni sura, misuli, kifua kipana kilichojaa vinyweleo, pochi iliyoshiba au?
 
Wewe si kuna thread hapa umetulaumu tunaomba namba sana, na ukasema hutatoa namba abadani. Sasa inakuwaje umeiweka hapo bila kuombwa?????
Huyu ni kidume flan anajifanya wa kike na kutuzingua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…