Francis Mawere
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 969
- 844
Ndo unajieleza matatzo yko binafsiWakuu nawasalimu,
Yawezekana Kichwa cha habari Kimekuvutia mno na ndio maana Uko hapa si ndio? Lakini siwezi nikashangaa Uwepo wako hapa katika post hii kwa kua wewe ni mmoja wa Hawa nitakao waongelea HAPA.
HOJA: Je ni lini Vijana wa Kitanzania Tuta acha Kuitumia Internet Pasipo na Faida?
Katika nchi za wenzetu zilizo endelea Vijana hutafuta yale mambo ambayo ni chanya katika maisha yao mfano Biashara, Tech, Afya n.k..
Lakini Vijana wengi wa Tz mambo hayo Kwetu hayapo Kiviiile kwa kua tuu Kiiza kinene ndicho kilicho tawala Akili zetu, Sisi Hutafuta, PICHA ZA UCHI, JINSI YA KUTONGOZA, NAMNA YA KUHACK SIMU ZA WAKE ZETU na DAWA ZA KUONGEZA nguvu za Kiume( mmmh shame on Us)
Post Mtambuka HiiUmeandika utafikiri umeahirisha kuwaza
Faru John wewe si Walikuua?Ndo unajieleza matatzo yko binafsi
Umesahau ya Kwamba na Mimi ni Mtanzania?We umepata wapi hiyo picha? Kama si wewe
Sawa mkuuPost Mtambuka Hii
Nili-google ili niweze kupata Picha(Snipe) kwa ajili ya Hii post Mkuu, umesahau "WEKA PICHA TUONE?"Wewe ndiye uliye-google namna ya kutongoza then unasema shame on 'us'?
Hebu jaribu kuwa specific mkuu hasa linapokuja swala la kijinga.....usihusishe wasihusika.
Sasa si ndio?Duh! Kutongoza nako una google!!!!
Ndio ni Mimi ila nilifanya hivyo Ili kupata Picha ya Hichi nachoongeleaKuwa muwazi kwamba ni wewe sio unazungusha maneno kama pangaboi
Ha ha ha aa ila UACHE kutumia Tricks za google Kutafuta Maujuzi hayagoogle nao wambea sana yani mtu kauliza "jinsi ya kutongoza" lakini wanakuja na option nyingi zinazokufanya ufanikishe swala lako, haya yote tatizo google bhana....!