Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)

Astral Projection au kwa maana nyingine Out of Body Experience (OBE) inafanana sana na Near Death Experience (NDE).
Hzi maana yake unaanza kujua hata kifo kinakuwaje na hivyo huwezi tena kuogopa kifo maana ni matukio yanayofanana sana.

For experienced meditators hii ni kawaida sana kwao
 
Mkuu mimi ninachoomba kujua hukiki naomba unisaidie
Hivi ikisambaa mwili mzima wakati wa kutoka, unafumbua macho kwa namna gani ili uone kama umetoka
 
Hii inakuwa ni nje ya akili zako za kawaida kama unazotumia kuandika hapa.
You just observe internally not in a physical way.
Sijui naeleweka hapa mkuu.
 
MY TODAY EXPERIENCE

Ni ngumu kutofautisha kati ya astral projection na lucid dream katika experience....huwa nina attempt sana astral projection or lucid... Leo bhana nilistuka mida kama ya saa nane, usingizi ulijuwa umekata so nikachezea simh then baada ya nusu saa nikarudi kulala...kama di 15 hv nikashtuka ila nilikuwa siwezi move mwili wangu (huwa napatakaga kauoga kidogo kama ulifanya research youtube kapo sijajua ni uongo au lah mambo ya shadow create like people) so nikasema embu ni attempt kutoka nje ya mwili kimawazo nilishangaa ilikuwa rahisi kuliko siku zote za nyuma ambapo iliniwia ugumu sana...nikashuka kitandani ili nihakikishe kwamba niko nje ua mwili nikaamua kugeuka na kuuona vizuri mwili wangu ukiwa umelala kabisa then nikaangalia umbrical cord ila sikufanikiwa kuiona basi bhana nikarudi nyuma huku nikiangalia mwili wangu ghafla nikaona umefungua macho unaniangalia (kiukweli niliogopa) tena umenikodolea macho kabisa...nikajaribu kuchuchuma( kama kupigwa squash vile) na kuinuka nikaona kabisa nikichuchumaa ule mwili unainuka kabisa huku ukiniangalia then nikirudi juu unarudi kulala huku ukiniangalia....nikaona isiwe kesi nikafumba macho nikaimagine nimerudi kwenye mwili wangu nikafanikiwa japo bado nilikuwa siwezi move zaidi ya macho tu...
THAT WAS MY EXPERIENCE TODAY japo sijajua if it was astral projection or lucid dream JAPO nililala huku mwezi ukiwa unanimulika

Rakims
 
Duuuh... Kiukwel mm pia hunikut iyo Hali ulivyo sema unahis mwili au move ila unakuw na uelewa kuwa upo on sense na cyo usingizi ila kutok Ivo cjawah. Wacha nitajarib pia ikija nitokea Ivo. Japo umeniogopesha ulivyo sema mwili wako ukaw unakukodolea macho
 
Mungu katupa uwezo Sana sisi lakini hatujui ku tumia uwezo wetu Sasa na Mimi nataka nitoke Ila mwalimu Nina maswali kadhaa 1, ninapo Toka inje ya mwili naweza kufanya Nini na Nini Je naweza fanya mapenzi au naweza kubeba kitu chochote kama simu au pesa na nk au naweza kwenda kubonyeza kitu au kula chakula nikiwa katika austra body yangu 🤣😂 niliwaza na mkuu Kuna mahali niliona wamesema kwamba nikitoka nje ya mwili alafu wakija watu Waka sogeza mwili wangu hata kidogo TU tayar Wana kuwa wamesha haribu njia ya Mimi kurudi katika mwili wangu naomba ni sahishe kidogo ni kweli au nikitoka ata watu wakibeba mwili wangu kupeleka popote naweza Rudi TU
 
Back
Top Bottom